Andika mkoa na mtaa uliopo uwajue wanaJF walio karibu na wewe

Andika mkoa na mtaa uliopo uwajue wanaJF walio karibu na wewe

Mimi nipo DSM -Ukonga-Markaz mtaa wa Kwa Temba

=====
Kama unahisi unatafutwa na hutaki kujulikana taja mtaa wa uongo ambao hata haukai huo.Huo huo mtaa mtaa wa uongo utampata jirani yako wa uongo
Mm nipo mtaa wa masika, kitongoji cha kichangani karibu na maliasili hapa kituo kipya nyantila ukitokea njia ya mbagara kwenda buza mbweni tegeta. Tujuane jaman
 
Kwaiyo kama wote binadamu ndyo tuwe ndugu?
Sitaki undugu na tapelians kama wewe
Naona unataka kunijua kiundani nilivyo mnyama na mkatili tafadhali acha ubwege nazi ntabadilika hautoamini
 
nipo officn bado, kama upo near by karibu sana uje utaniona[emoji4][emoji4]

fd8390c7a88e96d8313534fa6200be67.jpg
 
Back
Top Bottom