Andika mkoa na mtaa uliopo uwajue wanaJF walio karibu na wewe

Andika mkoa na mtaa uliopo uwajue wanaJF walio karibu na wewe

Niko kwa Yule bwana mshauri wetu.
Alikuja Tz, Mimi nikaingia kwake.
Labda mnikamatie Mpakani siku ya kurudi.
 
Tangu January ianze wamekuja hizi mambo zao!


Kabisa yaani mkuu ukikaa kidogo taja shule, taja marafiki , taja ofisi yako, taja kabila lako hivi hizo dots wataunganisha kweli ila kuna watu watadakwa na vimtego hivi. Uzi kama hizi mods piga chini tu lasivyo watu watafunuliwa mask sasa hivi
 
Back
Top Bottom