Lupamba's grandson
JF-Expert Member
- Jan 9, 2015
- 1,232
- 1,196
Reconcile, Resilience, Reform, Rebuild.Hanarini wapendwa.
Leo nimekaa nikawa nimepitia. Insta nikaona x kapost picha yake nikakumbuka neno mmoja mabalo nalikumbukka mpka leo liliniuma sana.
.alinisumbua sana ikafika mahali nilipewa mapumziko hospital,sasa kwenye kumpigia kumwambia nimelazwa ,bwana ee alinitext ". Utajua mwenyewe siumeyataka mwenyewe,wivu tuu, kufatiliana fatiliana".
Asee sitasahau aalikuwa hana utu..sasa naa wewe. Andika Neno lolote CHUNGU ,ZITO,LENYE MAUMIVU AMBALO Hautakujaa kusahau mtu alikutamkia..
Pole sana ,emoji imeshamaliza hata usiseme neno[emoji853][emoji58]
Duh pole sana ,mkaishiaje sasa'mshamba, mimi ni kama dada yako'
akanionesha kabisa amenisave 'Youngie'
inauma sana
Duh pole faidha wetuReconcile, Resilience, Reform, Rebuild.
Wachana na mambo ya kijinga jinga.
HahhahahahaDp world
π π π π π π π π π πReconcile, Resilience, Reform, Rebuild.
Wachana na mambo ya kijinga jinga.
[emoji3064][emoji1787][emoji1787][emoji1787]'mshamba, mimi ni kama dada yako'
akanionesha kabisa amenisave 'Youngie'
inauma sana