The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 4,118
- 9,864
Nasikia umekuwa CEO wa DP welediReconcile, Resilience, Reform, Rebuild.
Wachana na mambo ya kijinga jinga.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nasikia umekuwa CEO wa DP welediReconcile, Resilience, Reform, Rebuild.
Wachana na mambo ya kijinga jinga.
tukapotezeana tu sasa tufanyejeDuh pole sana ,mkaishiaje sasa
Hahhahahahahahaha pole sanaMm niliwaona Kwa mbali na mashoga zake wakipiga umbea nikataka nimsuprise Kwa zile za baby kiss me truu the phone,sinikaona kakata akasonya Kisha akacheka kinafki na mashosti zake Kisha wakagonga.Kwa kweli nilijiskia aibu na mtaa nilihama
😂😂😂Alitaka kubadili gari akaniomba ushauri sasa kwenye kumshauri nkamwambia hy itakusumbua inakula sana mafuta akanijibu "kwani zingine zinakula mkate" asee nlimind ni vile tulikua machoni pa watu tu
🤣🤣🤣 Na ukaingiza lakini bado akasema kandamizaIngiza mpaka mwisho
🤣🤣🤣🤣 Kakuletea dharauAlitaka kubadili gari akaniomba ushauri sasa kwenye kumshauri nkamwambia hy itakusumbua inakula sana mafuta akanijibu "kwani zingine zinakula mkate" asee nlimind ni vile tulikua machoni pa watu tu
Wii we uliambiwa nini kikakuumiza?
Kwakweli sikumbuki 😃😃😃Wii we uliambiwa nini kikakuumiza?
Nipo hapa nasubiri yako
Alikua sahihi,umemuonea kukasirika"Hakuna mtu anayezaa watoto akitegemea wenzake watakuja kumsomeshea"
Wii muongo 😂😂😂Kwakweli sikumbuki 😃😃😃
Hujambo youngie,dada anaendeleaje?🤣'mshamba, mimi ni kama dada yako'
akanionesha kabisa amenisave 'Youngie'
inauma sana
🤣🤣🤣🤣 sasa kwanini utongoze dada zako?'mshamba, mimi ni kama dada yako'
akanionesha kabisa amenisave 'Youngie'
inauma sana
napendaga wakubwa😋🤣🤣🤣🤣 sasa kwanini utongoze dada zako?
sio yeye😂🤣🤣🤣 Ila Ms eyes kwann ulimfanyia hivi shemeji yangu?
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Tatizo Imma we ni mfupi halaf tangu lini wafupi wakawa mahandsome..
joyce joyce joyceeeee
We kidampa..we kapyalu tu😊😊😊😊Habarini wapendwa.
Leo nimekaa nikawa nimepitia. Insta nikaona x kapost picha yake nikakumbuka neno mmoja mabalo nalikumbukka mpka leo liliniuma sana.
Alinisumbua sana ikafika mahali nilipewa mapumziko hospital, sasa kwenye kumpigia kumwambia nimelazwa ,bwana ee alinitext ".
Utajua mwenyewe siumeyataka mwenyewe,wivu tuu, kufatiliana fatiliana".
Asee sitasahau aalikuwa hana utu..sasa naa wewe. Andika Neno lolote CHUNGU ,ZITO,LENYE MAUMIVU AMBALO Hautakujaa kusahau mtu alikutamkia..