ki2c
JF-Expert Member
- Jan 17, 2016
- 7,719
- 14,506
Niseme tu,sante sana,kiongozi.Pole sana mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Niseme tu,sante sana,kiongozi.Pole sana mkuu
Sasa ilikuwaje mkuu? Mpaka leo bado unatafuta kazi?Mwaka 2007 mama mwenye nyumba wangu aliniambia ntatafuta kazi mpaka milele! Aiseee nilichoka mno na alikua mshirikina balaa
We miss youNiko poa bro. Naingia huku kwa manati
Unaogopa matusi ya zamani mimi nina matusi mapya km shati lako, Android yako, smart phone yakoHabarini wapendwa.
Leo nimekaa nikawa nimepitia. Insta nikaona x kapost picha yake nikakumbuka neno mmoja mabalo nalikumbukka mpka leo liliniuma sana.
Alinisumbua sana ikafika mahali nilipewa mapumziko hospital, sasa kwenye kumpigia kumwambia nimelazwa ,bwana ee alinitext ".
Utajua mwenyewe siumeyataka mwenyewe,wivu tuu, kufatiliana fatiliana".
Asee sitasahau aalikuwa hana utu..sasa naa wewe. Andika Neno lolote CHUNGU ,ZITO,LENYE MAUMIVU AMBALO Hautakujaa kusahau mtu alikutamkia..
We share the same story Mimi ki asili ni introvert Mimi negative motivation nikiambiwa huwezi kufanya hii achievement NDIO kama umenipa morally ya kufanikiwa.....Kuna ndugu yangu alinambia "kwa akili zako hizo fupi, hata form 4 hutofaulu" nilifaulu form 4 nilipata division one ya point 10 mtoto wake niliekuwa nae sawa akapata two ya mwisho.
Tulivoenda advance akasema tena sitofaulu, nilifaulu advance kwa division one ya point saba PCB na toto lake likapata division three.
Somo; Usimchukulie poa mtu hujui ndani yukoje.
Ni hatari sana mkuu! Kipindi namaliza form 4 nimechaguliwa kwenda chuo cha mifugo wazazi wote wakawa wamefariki nikawa sina pa kushika mpaka imefikia nakosa hata viatu vya shule. Nikasema wacha niende kwa sister mtoto wa baba mkubwa anipige tafu. Akaniambia nimfuate ofisini kwake (alikuwa dereva wa JWTZ baadaye akaja akahamia UN) ili anipeleke na home kwake nikapaone. Kufika sijui nini kikamjia kichwani akawa ameghairi kunipeleka kwake. Hapo ofisini alikuwa na wadogo zake tumbo moja na binti yake wa nje ya ndoa ambaye alikuwa karibia rika moja na yeye mzazi (alipata mimba akiwa mtoto) na kule kwa mme wake alikuwa anadanganya kwamba huyo binti ni mdogo wake (sasa nikawa nahisi kwamba labda aliogopa nisije nikamtibulia mipango). Basi akaniuliza nina shida gani? Nikamweleza naomba unisaidie hela ya viatu vya shule sina kabisa, likafuata tusi la Kisukuma "ALIYO GHASHI MAKOYE!" Wadogo zake wakacheka sana! sikurudia tena na nikaondoka zangu! Tangu siku hiyo nikakata mawasiliano nikapambana kivyangu mpaka nikamaliza chuo na kupata kazi nzuri tu kipindi hicho, yeye huku nyuma akawa ametengana na mmewe aliyekuwa anamweka mjini, maisha yakampiga mpaka akawa ananitafuta nimpige tafu, anapitishia ujumbe kwa sister wangu! Kwa vile mimi Mgalatia nikawa najibu hivyo hivyo alivyonijibu mimi! Mwisho wa siku anakuja kufariki almanusura azikwe na Halmashauri ya Jiji! Wadogo zake walionicheka kipindi kile wakaja wakafa kwa kujitia kitanzi kutokana na ugumu wa maisha uliowakumba! Karma is a bitch! Binadamu tupendane aisee!We share the same story Mimi ki asili ni introvert Mimi negative motivation nikiambiwa huwezi kufanya hii achievement NDIO kama umenipa morally ya kufanikiwa.....
NB:
Wanatuangalia Kwa nje wanatuona dhaifu dhaifu ndani yetu ni zaidi ya John Cena,The undertaker, Block lisner (The beast)
Hao hao ndio saivi wanakupigia simu am 4 real nisaidie 500,000 kikubwa nawashukuru haters bila wao hasira za kupambana zisinge kuepo kichwa hiki.....
Nikitulia narudi mazima kazi zinanibanaWe miss you
Duh mkuu mbn story inatisha hvyo jpo ni fupi aiseeNi hatari sana mkuu! Kipindi namaliza form 4 nimechaguliwa kwenda chuo cha mifugo wazazi wote wakawa wamefariki nikawa sina pa kushika mpaka imefikia nakosa hata viatu vya shule. Nikasema wacha niende kwa sister mtoto wa baba mkubwa anipige tafu. Akaniambia nimfuate ofisini kwake (alikuwa dereva wa JWTZ baadaye akaja akahamia UN) ili anipeleke na home kwake nikapaone. Kufika sijui nini kikamjia kichwani akawa ameghairi kunipeleka kwake. Hapo ofisini alikuwa na wadogo zake tumbo moja na binti yake wa nje ya ndoa ambaye alikuwa karibia rika moja na yeye mzazi (alipata mimba akiwa mtoto) na kule kwa mme wake alikuwa anadanganya kwamba huyo binti ni mdogo wake (sasa nikawa nahisi kwamba labda aliogopa nisije nikamtibulia mipango). Basi akaniuliza nina shida gani? Nikamweleza naomba unisaidie hela ya viatu vya shule sina kabisa, likafuata tusi la Kisukuma "ALIYO GHASHI MAKOYE!" Wadogo zake wakacheka sana! sikurudia tena na nikaondoka zangu! Tangu siku hiyo nikakata mawasiliano nikapambana kivyangu mpaka nikamaliza chuo na kupata kazi nzuri tu kipindi hicho, yeye huku nyuma akawa ametengana na mmewe aliyekuwa anamweka mjini, maisha yakampiga mpaka akawa ananitafuta nimpige tafu, anapitishia ujumbe kwa sister wangu! Kwa vile mimi Mgalatia nikawa najibu hivyo hivyo alivyonijibu mimi! Mwisho wa siku anakuja kufariki almanusura azikwe na Halmashauri ya Jiji! Wadogo zake walionicheka kipindi kile wakaja wakafa kwa kujitia kitanzi kutokana na ugumu wa maisha uliowakumba! Karma is a bitch! Binadamu tupendane aisee!
Mshukuru, sometimes maybe mungu alikuepusha na mtu mbaya.Your are not a women enough
Ila huyo woman wake alotoshea sasa mmmh
Mungu amsimamie
Pole Imma🤣🤣🤣Tatizo Imma we ni mfupi halaf tangu lini wafupi wakawa mahandsome..
joyce joyce joyceeeee