Andika neno lolote chungu, zito, lenye maumivu ambalo hautakujaa kusahau mtu alikutamkia

Kwahiyo hujaoata kazi?πŸ€”
Nina nyumba mbili...na ya tatu mkoani..nina biashara ipo very stabble nina kampuni tano ila mbili tu ndio zinafanya kazi...nina watoto wanasoma shule nzuri tu...niliyumba kidogo kipindi cha mwendazake ila sa hv narudi mdogo mdogo

In short yeye alikimbiwa na mume kibenten alikua amekiteka...ndugu wakakaza...so yupo ila upepo wake sio mzuri...somehow kauli yake ilinifanya nikomae sana...namshkuru kistyle
 
Alitaka kubadili gari akaniomba ushauri sasa kwenye kumshauri nkamwambia hy itakusumbua inakula sana mafuta akanijibu "kwani zingine zinakula mkate" asee nlimind ni vile tulikua machoni pa watu tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hakika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…