moshathedoniaa
Senior Member
- Jun 22, 2021
- 178
- 314
[emoji3][emoji3]Uyo Suzi nin""kwani hatuwezi kuwa marafiki mpaka tuvuane nguo""
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji3][emoji3]Uyo Suzi nin""kwani hatuwezi kuwa marafiki mpaka tuvuane nguo""
😂😂😂😂😂 suzi wa mlacha ahahahahhahahahahahhahah[emoji3][emoji3]Uyo Suzi nin
Nina nyumba mbili...na ya tatu mkoani..nina biashara ipo very stabble nina kampuni tano ila mbili tu ndio zinafanya kazi...nina watoto wanasoma shule nzuri tu...niliyumba kidogo kipindi cha mwendazake ila sa hv narudi mdogo mdogoKwahiyo hujaoata kazi?🤔
Hapana mkuu niko vizuri sana mkuu wangu...!Sasa ilikuwaje mkuu? Mpaka leo bado unatafuta kazi?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Alitaka kubadili gari akaniomba ushauri sasa kwenye kumshauri nkamwambia hy itakusumbua inakula sana mafuta akanijibu "kwani zingine zinakula mkate" asee nlimind ni vile tulikua machoni pa watu tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tatizo Imma we ni mfupi halaf tangu lini wafupi wakawa mahandsome..
joyce joyce joyceeeee
Hakika.Kuna ndugu yangu alinambia "kwa akili zako hizo fupi, hata form 4 hutofaulu" nilifaulu form 4 nilipata division one ya point 10 mtoto wake niliekuwa nae sawa akapata two ya mwisho.
Tulivoenda advance akasema tena sitofaulu, nilifaulu advance kwa division one ya point saba PCB na toto lake likapata division three.
Somo; Usimchukulie poa mtu hujui ndani yukoje.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwann?Your are not a women enough
Ila huyo woman wake alotoshea sasa mmmh
Mungu amsimamie
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamaniii watuu.ulivyo kama mwanamke
hapo lazima damu imwagike[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamaniii watuu.
====Andika neno lolote chungu, zito, lenye maumivu ambalo hautakujaa kusahau mtu alikutamkia"Heartbeats una dushe tamu we mwanaume sijapata kuona"
Pole sana rafiki""kwani hatuwezi kuwa marafiki mpaka tuvuane nguo""
Sawa sawa mdogo anguPole sana rafiki
Hahahhaha tuache tu 😆😆😆😆[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwann?
Hatari sana.Hahahhaha tuache tu [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
😀😀😀😀Hatari sana.
Huu ni ukweli. Na ukweli huuma. Jipange usije kuwapa lawama wengine dhidi ya majukumu yako wewe mwenyewe."Hakuna mtu anayezaa watoto akitegemea wenzake watakuja kumsomeshea"
Dahh! Pole sana bro... Vipi ulifanikiwa kubadili hali ya maisha?Mwaka 2007 mama mwenye nyumba wangu aliniambia ntatafuta kazi mpaka milele! Aiseee nilichoka mno na alikua mshirikina balaa
Yaaap..niko very ok aisee infact mwaka huo huo nilipata kazi kwa wachina nilikua nalipwa laki 5..imagine mwaka 2007Dahh! Pole sana bro... Vipi ulifanikiwa kubadili hali ya maisha?