Kwakweli tuzogoe tu akichoka akatureport kwa Max, nipo mwenza mara nyingi huwa nakuwa msomaji tu sichangii ila na ww umepoteaTuzogoe tu hakuna namna. Mwenza umepotea sana
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ebu soma kwanza dogoTabia ya Madem kunifata PM wananiuliza na kazi gani?Nikiwajibu ni Mwanafunzi hawanijibu tena *****
Nahisi na Mimi ni wa kusoma zaidi bila kuchangia, nakosa mada nzuri za kuchangia Kama hiziKwakweli tuzogoe tu akichoka akatureport kwa Max, nipo mwenza mara nyingi huwa nakuwa msomaji tu sichangii ila na ww umepotea
Hahhahaha mwenza mada nzuri ya kuchangia kama hii nimecheka sanaNahisi na Mimi ni wa kusoma zaidi bila kuchangia, nakosa mada nzuri za kuchangia Kama hizi
Niambukize na mimiIna raha yake
Hahah Mental Jiu-jtsu hatari sana. Mkuu naomba uanzishe uzi wa kutu train jinsi ya kuweza kufikia huko ulipo. Hivi na katika real life una approach kama hizo..yani kazini,nyumbani n.kWala hakuna cha kuvumilia, katika dunia yako labda, si kwangu.
Katika ulimwengu uliozoea ugoigoi wa mawazo, hata salamu inaweza kuwa kitu cha kuvumiliwa.
Katika ulimwengu wa mental jiu-jitsu, mapambano ya mawazo ni chachu inayokaribishwa, si kitu cha kuvumiliwa tu.
Ulimwengu ninaoishi mimi hata watoto wanafundishwa ku challenge mawazo wanayoletewa, kwa hiyo ni mental jiu-jitsu mwanzo mwisho.Hahah Mental Jiu-jtsu hatari sana. Mkuu naomba uanzishe uzi wa kutu train jinsi ya kuweza kufikia huko ulipo. Hivi na katika real life una approach kama hizo..yani kazini,nyumbani n.k
Hii[emoji117][emoji117]NGOJA WAJE;
**na wanakuja sasa hivi sijui nitawaambia nini......
Umeona sasa njaro zako Sister!!Kwani siezi opoa manzi nikiwa mwanafunzi tena nko above 18 kabisa alaf second year!!You cant be seriouz Shunie..!?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ebu soma kwanza dogo
AiseeeTabia ya baadhi ya wadada wa humu jf kutubania papuchi zao sipendezwi nayo hata kidogo
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]kazi nnayo
Hii tabia ya ''ngoja waje''. '' nimewahi seat''. wanakusikia'' hii inaniudhi kuliko maelezo, mtu sijui hana cha kufanya hana point,? yuko pale ametegea tuuu. kuwa wa kwanza. mtu ameona thread nzuuurii! anaingia anakutana na huu ujinga mnachosha akili zetu na kujaza page tu.na kura bundle, mfyuuuuuu!ngoja waje.
Mtu kuonyesha kiitu ambacho si chake mfano, sura miguu. minene, mikono, demu mkali.mi new member bado nawasoma