Andika tabia usiyoipenda ya baadhi ya member wa JF

Andika tabia usiyoipenda ya baadhi ya member wa JF

Si kweli.

JF ina watu wa kila aina wenye mawazo tofauti. Inapatikana sehemu tofauti, na watu wenye elimu na uchumi tofauti.

Ndiyo maana wengine wanakera wengine.

Wote tungekuwa wasomi na tuna mawazo sawa, hakuna mtu ambaye angemkera mwingine.

Unayejichanganya ni wewe.
Hivi Kiranga hua unasoma au kukumbuka ulichoandika?
 
Lengo la uzi ni kuonyana, kuna tabia nyingi humu si nzuri mfano watu kuendekeza matusi. Uzi huu una lengo la kuwataka watu kuacha tabia za ajabu ajabu.
Ok thanks [emoji120] thanks
 
Tabia ya Madem kunifata PM wananiuliza na kazi gani?Nikiwajibu ni Mwanafunzi hawanijibu tena *****
 
Back
Top Bottom