Orketeemi
JF-Expert Member
- Feb 12, 2013
- 5,063
- 12,866
- Thread starter
- #81
Hivi Kiranga hua unasoma au kukumbuka ulichoandika?Si kweli.
JF ina watu wa kila aina wenye mawazo tofauti. Inapatikana sehemu tofauti, na watu wenye elimu na uchumi tofauti.
Ndiyo maana wengine wanakera wengine.
Wote tungekuwa wasomi na tuna mawazo sawa, hakuna mtu ambaye angemkera mwingine.
Unayejichanganya ni wewe.