Andika umri wako na jambo usiloweza kulifanya

Unawezaje kusurvive?
Nifundishe na mimi

Sent using Jamii Forums mobile app
Kanuni na nidhamu ya kimaumbile (nature) kama binadamu amezaliwa bila ya matatizo ni lazima awe ni mwenye kuhitaji (kukutana kimwili) lakini akifikia hatua fulani (baleghe) lakini haimaanishi atashindwa kujidhibiti. Kuna msukumo wa namna mbili. 1) Msukumo wa kiasili na (2) Msukumo utokanao na vichocheo vya mazingira. Hivi unaweza kuviepuka kwa namna mbili (2): Ya kwanza (1) ni maamuzi, ya pili (2) ni nidhamu.

Twende pamoja dada Saint Anne ; (1) Maamuzi yanahitimisha lengo kwa kujua unachotaka ni nini na kwa hali gani utapambana na changamoto. Maamuzi yangu ni kutokutana kimwili na jinsia ya Eve mpaka nitakapo oa. Changamoto ambazo kwa lugha nyengine viamsha hisiya ni yakupasa ufahamu viamsha hisiya yako na inakupasa utafute njia mbadala wa kuviepuka. Njia mbadala niliyoichagua mimi ni kujiweka busy na napenda sana kufanya mazoezi na kujiepusha kuwa idle, kujiepusha na pornographic ya aina yoyote. Kama una mpenzi unamwambia msimamo wako ni upi. (2) Nidhamu ni kuheshimu, kuwa na msimamo wa maamuzi yako na kuyalinda.

Kingine: Ninachoamini man ni the lord of creation na the lord of humans organs is his heart. Ushibishe moyo wako positive things. Hata kama ubongo unafikiri vilivyo hasi amini moyo uliyo chanya una uwezo wa kuhimili na kudhibiti akili iliyo hasi. Ninacho amini moyo una fikra ambayo ubongo hauwezi kufikiri na una lugha ambayo ubongo hauelewi isipokuwa moyo wenyewe.

Samahani nilikuwa nakula. Tamaduni iliyojengeka kwa akina Hammaz wakiwa wanakula simu wanaipumzisha kidogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…