Carleen
JF-Expert Member
- Nov 6, 2018
- 7,982
- 27,272
Kweli nini mkuu.!?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli nini mkuu.!?
Kuna watu wanafanya hicho kitu ?Miaka 25
siwezi kubeba begi la nguo na kwenda location kupiga picha🚮🚮
Mkuu unadhank wale masharobalo wa mjini wanaopiga picha kali kali wanafanya nini??Kuna watu wanafanya hicho kitu ?
Basi mjini kuna mambo mengi sanaMkuu unadhank wale masharobalo wa mjini wanaopiga picha kali kali wanafanya nini??
Hua wanabeba begi kabisa la nguo then wanaenda photoshoot
Poa dada yangu....hahaha mimi mdogo lakin nasimamia kuchaa😂😂Kumbe mdogo angu wewe, mambo!😀
Steam na raha, huwa sifatilii mambo ya watu wala sina muda na vitu/mambo ya webgine zaidi ya kufatilia maisha yangu na kufanya mambo yangu.
ᴮᵉʷᵃʳᵉ ᵒᶠ ᵗʰᵉ ᶜᵒᵛⁱᵈ ⁻ ¹⁹ [emoji377]
Unatumia pombe?
Unaweza kupokea kadi ya ccm ?Nina miaka 96 ila sipendi kula ugoro ila sio kwamba sili ila sipendi.
Ikiletwa kwenye fuko la ugoro sawa ila ukiisha nayo imeisha.Unaweza kupokea kadi ya ccm ?
Nipo hapa bossUzi umejaa wadogo zangu, hivi hakuna wa rika langu humu? 36yrs
ᴮᵉʷᵃʳᵉ ᵒᶠ ᵗʰᵉ ᶜᵒᵛⁱᵈ ⁻ ¹⁹ [emoji377]
Quel âge tu?
Ni kitu gani ukikifanya huwa unapata raha?
Ooh okayNimewaona chief wpo wachache sn hawazid hta wa5...wengi wapo below average
Hahaaa, ndyo kufanya nini sasa hizo kucha?Poa dada yangu....hahaha mimi mdogo lakin nasimamia kuchaa😂😂
Kuielezea ni ngumu mnooo...labda kwa vitendoo😋😋🤣Hahaaa, ndyo kufanya nini sasa hizo kucha?