Andika umri wako na jambo usiloweza kulifanya

Andika umri wako na jambo usiloweza kulifanya

Asante.
Wachache mmebaki mmaoonyesha kuwa kuna wanaume waaminifu[emoji120][emoji120]

Sent using Jamii Forums mobile app
Jana ulinifanya nicheke uliponiuliza unawezaje kujidhibiti na leo umenifanya nicheke tena na kwa hii komenti yako, ni kicheko cha furaha lakini.

Wanaume wazuri wapo, waliyo bora na waaminifu zaidi ya Hammaz; sikutaraji nami ungeniweka kwenye hilo kundi. Ni mara ya kwanza kuona naambiwa hivyo, ahsante! Umenifanya niwe na amani ya moyo na kuona nilichokifanya ni uadilifu.

Mungu akubariki.
 
Nina miaka 10 ya ndoa cjawahi kuchepuka huwa namuomba Mungu sana nisichepuke mpka naingia kaburini
 
Back
Top Bottom