Kweli nini mkuu.!?
Kula chakulaNi kitu gani ukikifanya huwa unapata raha?
ᴮᵉʷᵃʳᵉ ᵒᶠ ᵗʰᵉ ᶜᵒᵛⁱᵈ ⁻ ¹⁹ [emoji377]
Basi huwa napata raha kama unayopata wewe ukila chakula.
Nimekuuliza una umri gani unajibu yeah [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]
Hee, vitendo tenaa, sawa basi siku ukiwa unafanya hivo niite nishuhudie😀😀 kaoneeeKuielezea ni ngumu mnooo...labda kwa vitendoo😋😋🤣
Vipi kwa afya ikoje?Basi huwa napata raha kama unayopata wewe ukila chakula.
ᴮᵉʷᵃʳᵉ ᵒᶠ ᵗʰᵉ ᶜᵒᵛⁱᵈ ⁻ ¹⁹ [emoji377]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nimekuuliza una umri gani unajibu yeah [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]
ᴮᵉʷᵃʳᵉ ᵒᶠ ᵗʰᵉ ᶜᵒᵛⁱᵈ ⁻ ¹⁹ [emoji377]
Ni nzuri tu inapunguza mafuta mwilini, wavutaji wengi wanakuwa wakavu (hawana mafuta mengi mwilini)
French. Hongera. Ila unaonekana hupendi kuwa karibu na mvutaji![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa unaniuliza na kiitaliano hicho sijui kidude gani[emoji1787]
Mimi Nina 34
Sent using Jamii Forums mobile app
Madhara yake ni yapi?Ni nzuri tu inapunguza mafuta mwilini, wavutaji wengi wanakuwa wakavu (hawana mafuta mengi mwilini)
ᴮᵉʷᵃʳᵉ ᵒᶠ ᵗʰᵉ ᶜᵒᵛⁱᵈ ⁻ ¹⁹ [emoji377]
Sasa mkuu kiingereza tu sijui..hicho kifaransa nitakijulia wapi mie[emoji1787].French. Hongera. Ila unaonekana hupendi kuwa karibu na mvutaji!
ᴮᵉʷᵃʳᵉ ᵒᶠ ᵗʰᵉ ᶜᵒᵛⁱᵈ ⁻ ¹⁹ [emoji377]
Usipokula vizuri waweza pata madhara ya kiakili
Wewe unakula ngapi kwa siku?Usipokula vizuri waweza pata madhara ya kiakili
ᴮᵉʷᵃʳᵉ ᵒᶠ ᵗʰᵉ ᶜᵒᵛⁱᵈ ⁻ ¹⁹ [emoji377]
AiseeKama nyongo 4 tu kwa siku, sio nyingi tena ndio nimepunguza hapo.
ᴮᵉʷᵃʳᵉ ᵒᶠ ᵗʰᵉ ᶜᵒᵛⁱᵈ ⁻ ¹⁹ [emoji377]