Duuh...28 kuduu bila kuzibuliwa
Mkuu hutakiwi kujilegeza, usikubali unatakiwa ulegezwe23 siwez kujilegeza nitaendelea hapo chini
Ukikurupuka utajua ni tusi[emoji23][emoji23][emoji23].
Umenizidi mwaka 1 ....26-siwezi kuwa na mahusiano ya kimapenzi na Ex wangu,.
Naomba sh'kamoo yangu,fastaaa
Unafiki mbaya sana zaidi ya sumu mdogoangu😂😂
Oh yeah...marhabaaaa toto
NdiondioUnafiki mbaya sana zaidi ya sumu mdogoangu[emoji23][emoji23]
Sh'kamoo tamm jomonii 😂😂hasa yako
Kama hutojali unaweza KUDADAVUA..hiyo KUZIBULIWA..asante..28 kuduu bila kuzibuliwa