Andika usichokipenda humu JamiiForums

Jana nilikosa bando. Madanga yaligoma kuwajibika, teh
hahahhh mama weee ! kwamba yaliweka mgomo baridi !tuombanage tu vocha mwaya (if its true) haukawii kumuomba mtu kiroho safi akaja kusema yake !mxiewwwwwwww nawadharau sana watu wa namna hyo !
 
hahahhh mama weee ! kwamba yaliweka mgomo baridi !tuombanage tu vocha mwaya (if its true) haukawii kumuomba mtu kiroho safi akaja kusema yake !mxiewwwwwwww nawadharau sana watu wa namna hyo !
It is true mwaya..
 
Heeee! Unaongea Na Nani Dada Mbona Povu Zitooo. [emoji28] [emoji28] [emoji28]
 
Hahhhahhaa Kwani Wewe Mgeni Kwa Putin? Hapa Tunazunguka Mbuyu tu MBITI. Tunataniana Tu Humu Maisha Yanaenda Kwani Ukiambiwa Nimekuzarau Inakuwa Kweli. Mimi Na andika Huku Nacheka coz Humu Ni vituko Sa Wewe Ukihisi Kweli Utakwazika Sana Mama. Just Take is easy.

Any way kama mekukwaza Forgive Me MBITI
 
Sipendi ccm
Sipend Rais wake
 
huo ndo ukweli ! inakujia akilini mie mdada ninakamata vimia mia nimuombe mtoto wa chuo tea anayetegemea boom?? hivi mpo srious kweli? ni kma leo mie nimuombe mdogo wangu grace pesa yake ya boom !si wehu huo ?
inakera sana ! mtu akipata kiboom anakujia pm anakuuliza afanye nn na nn leo anakuja hapa pua kubwaaa ohhh nyoko nyoko !mcxiewwwww
 
Heee Kwahyo Putin Ndo Alikufwata Na kibumu Chake Cha Second Batch. Hahaha hahaha Nacheka Sana Ngoja Ajee
 
Aiseee kumbe.?.
Mimi Simo Bana. Nime koti hyo kitu Hata Sijui Mmeanziana Wapi. Lakini Mkuu Kwanini Usianike Hapa Kila Kitu Hadi Ule Mstari Wetu Uleeeeee..Ulete Bana Waache Kukuzarau Eti Kidenti cha Second Batch Khaa!
 
Poa ,ila nivema ungefanya km nilivyoelekeza Mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…