Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwongo unamwamini Beira ngja nkuthibitishieJamaa wangu bela aka London boy. Keshaenda zake skonga. Ngoja akale ugari maharagwe.
Jamaa wangu bela aka London boy. Keshaenda zake skonga. Ngoja akale ugari maharagwe.
hhhhhaaaaaaaaaaa ptuuuuhuo ndo ukweli ! inakujia akilini mie mdada ninakamata vimia mia nimuombe mtoto wa chuo tea anayetegemea boom?? hivi mpo srious kweli? ni kma leo mie nimuombe mdogo wangu grace pesa yake ya boom !si wehu huo ?
inakera sana ! mtu akipata kiboom anakujia pm anakuuliza afanye nn na nn leo anakuja hapa pua kubwaaa ohhh nyoko nyoko !mcxiewwwww
Hahahahahangoja nikutapike tu ptu
Pole sana mkuuHahahaaaa. Kadogo janja kaongo kale. Nimekatumia 12 elfu ya blueband na peanut butter asee .....
Kweli wapo wengi wa namna hiyoKiongozi unajua nini si kwamba ni utani bali ni ukweli uliopo,,unakuta mtu anatatizo anaomba ushauri au msahada ,,unakuta mtu anakua wakwanza kuchangia,,anasema Ngoja waje"" waje akina nani sasa, we umekuja kufanya nini sasa kama hauna chakuchangia..
Yaani acha tu!! Wanangu ndio wananificha mama.Kila siku lazima upitwe, nani anakufichaga?
kaziyangu ni kuhabarisha mimi ni mwanahabari si kila jambo ninaloripoti litakupendeza poleWakina yeriko na mwanahabari huru.
Seriously chief [emoji15] [emoji15]Sipendi Tabia Ya The Bold. Anapigwa ban Anakaa Miezi 3 Akirudi Anasalimia Hadi Leo Yajawahi Kurudi. Nimemzarau Na yeye. Mnisamehe Tuu[emoji28] [emoji28]