Andika usichokipenda humu JamiiForums

Andika usichokipenda humu JamiiForums

Jamaa wangu bela aka London boy. Keshaenda zake skonga. Ngoja akale ugari maharagwe.
77f7beb364f0e01ad3355e4daf820196.jpg
. Unaesema yupo shule .[emoji23] [emoji23] angalia last seen
 
huo ndo ukweli ! inakujia akilini mie mdada ninakamata vimia mia nimuombe mtoto wa chuo tea anayetegemea boom?? hivi mpo srious kweli? ni kma leo mie nimuombe mdogo wangu grace pesa yake ya boom !si wehu huo ?
inakera sana ! mtu akipata kiboom anakujia pm anakuuliza afanye nn na nn leo anakuja hapa pua kubwaaa ohhh nyoko nyoko !mcxiewwwww
hhhhhaaaaaaaaaaa ptuuuu
 
Kiongozi unajua nini si kwamba ni utani bali ni ukweli uliopo,,unakuta mtu anatatizo anaomba ushauri au msahada ,,unakuta mtu anakua wakwanza kuchangia,,anasema Ngoja waje"" waje akina nani sasa, we umekuja kufanya nini sasa kama hauna chakuchangia..
Kweli wapo wengi wa namna hiyo
 
Sipendi I'd za wana JF. Majina Mabaya Sijawahi Ona. Mfano Gudume. Mbitiyaza. Mshipa[emoji2] [emoji2] Nikiandika Page Nzima Itajaaa
 
Sipendi Tabia Ya The Bold. Anapigwa ban Anakaa Miezi 3 Akirudi Anasalimia Hadi Leo Yajawahi Kurudi. Nimemzarau Na yeye. Mnisamehe Tuu[emoji28] [emoji28]
Seriously chief [emoji15] [emoji15]
Nimeshaandika nyuzi Tatu tayari tangu nirudi.
 
Back
Top Bottom