Yeth lottah
JF-Expert Member
- Dec 7, 2017
- 1,405
- 2,229
Ushahidi nitaweka kesho mkuu nilivyolizwaMkuu Umewahi Tapeliwa au dodoso Za Humu Tuu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ushahidi nitaweka kesho mkuu nilivyolizwaMkuu Umewahi Tapeliwa au dodoso Za Humu Tuu.
Hakuna wa kuninunua kizembeKeep ur Promise Boss. Usije Ukanunuliwa
Hebu achana na Mimi mpuuzi wewe usinipigie kelele na usilazimishe kunijua kama unakazi kafue chupi zako ulale nyang'au weweSizani Kama Ulifikilia Hilo Kabla Ya Kuvua. Ungeliwaza Hilo Usingejileta Hapa Na Kujibu Huo Utumbo.
Toka Lin ,unaanza kwenda kazini bila kuandaa chai??Hebu achana na Mimi mpuuzi wewe usinipigie kelele na usilazimishe kununua kama unakazi kafue chupi zako ulale nyang'au wewe
mmh acha tu kazi zikikuzidi some times unasahu mpaka kama kuna kula..@Vladimirovich Putin ukiniletea itapendeza.Toka Lin ,unaanza kwenda kazini bila kuandaa chai??
Mima white cute ila usijali nmetengeza tayar ,ungependa nikuletee hapo hapo au utarudi home ?.
Haaaaaaa MTU anayekugusa mschana Wangu nisawa amenigusa Mimi moyon mwangu ,tena amenigusa kwa kitu chenye ncha Kali.mmh acha tu kazi zikikuzidi some times unasahu mpaka kama kuna kula..@Vladimirovich Putin ukiniletea itapendeza.
Naona kuna MTU anataka kuniharibia siku hapo juu anafosi kunifahamu mxiee zake.
kwakweli waniwache tu huyu mburula nishajua lengo lake anataka anigombanishe nawe my baby ili nionekane mm nadanga humu ndani anikomee kwakweli na lengo lake nishalijua.Haaaaaaa MTU anayekugusa mschana Wangu nisawa amenigusa Mimi moyon mwangu ,tena amenigusa kwa kitu chenye ncha Kali.
Wakuache tu kwakweli Mima white cute maana wewe ndo furaha yangu ,, nasiwezi kutulia kuona unaninyima furaha sababu tu umekwazwa na MTU .
Hapana kugombanisha hawezi maana Mungu alinipa Akili ,isipokua nikujaribu kutafuta majibizano tu ili akujue zaidi wewe ninani ?.kwakweli waniwache tu huyu mburula nishajua mengi lake anataka anigombanishe nawe my baby ili nionekane mm nadanga humu ndani anikomee kwakweli na lengo lake nishalijua.
Maana namuona kaniquote mm ujinga wake wake kacuquote na wewe ashindwe kwa jina LA yesu
Sipendi watu kuchangia uzi ukiwa ushapoaHahaaaa!! Utoto tu huo, wakikua wataacha.
Kabisa hakuna zaidi yako Mima white cute ni wa Vladimirovich Putin .Hapana kugombanisha hawezi maana Mungu alinipa Akili ,isipokua nikujaribu kutafuta majibizano tu ili akujue zaidi wewe ninani ?.
Mimi nachojua kwa Mima white cute nipo peke yangu !!.
Hakika Mima white cute nivema kutulia ,endelea nakazi zako Mama yangu !!Kabisa hakuna zaidi yako Mima white cute ni wa Vladimirovich Putin .
Acha nimpuuze tu ....waendelee kutafuta kiki zake .
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] acha waupashe motoSipendi watu kuchangia uzi ukiwa ushapoa
Aaaarghhh ngoja niende mie[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] acha waupashe moti
Nimekwambia Ukae Kimya Hutaki, Sasa Mimi Na wewe Nani Anstahili Kufua Chupi. Umesahau Pale Kimara Ulifua Kichupi Chako Ukaweka Kwenye Pochi Ukisema Utakianika Ukirudi Kwako? Au siyo Wewe... Hakyanani Kama Mkuki Tu Jamaa Wako Atauvumilia Tu Ajipangeeeee.Hebu achana na Mimi mpuuzi wewe usinipigie kelele na usilazimishe kunijua kama unakazi kafue chupi zako ulale nyang'au wewe
Boss Usije Huku Hapakufai Kuna Mazito Sana....Toka Lin ,unaanza kwenda kazini bila kuandaa chai??
Mima white cute ila usijali nmetengeza tayar ,ungependa nikuletee hapo hapo au utarudi home ?.
Unajulikana From Bottom, Middle(Inner),To The Top..... Sijui Utasonya Vingapi Malaika Wewe... Acha Kabisa Kaa Kimya Maana Utawaita Watu Wajazane Humu Pasi Na Sababu Ya Msingimmh acha tu kazi zikikuzidi some times unasahu mpaka kama kuna kula..@Vladimirovich Putin ukiniletea itapendeza.
Naona kuna MTU anataka kuniharibia siku hapo juu anafosi kunifahamu mxiee zake.
Mkuu Chonde Chonde Usije Humu Maana Ni Makubw Na Utaumia Kweli.. Bora Tuu Tuwe Kimya Yaishie Hapa ILa Ni Makubwa Na Yanaumiza Sana.Haaaaaaa MTU anayekugusa mschana Wangu nisawa amenigusa Mimi moyon mwangu ,tena amenigusa kwa kitu chenye ncha Kali.
Wakuache tu kwakweli Mima white cute maana wewe ndo furaha yangu ,, nasiwezi kutulia kuona unaninyima furaha sababu tu umekwazwa na MTU .
Yani Wewe Kama Ni Danga Mimi Cjui Ninachojua Ni Kuwa I Know You In And Out Sasa Kama Wengine Wanakujua Mimi Hayo Siyajui...Any way I am done Ngoja Nivunge Yaishie Hapa.kwakweli waniwache tu huyu mburula nishajua lengo lake anataka anigombanishe nawe my baby ili nionekane mm nadanga humu ndani anikomee kwakweli na lengo lake nishalijua.
Maana namuona kaniquote mm ujinga wake wake kacuquote na wewe ashindwe kwa jina LA yesu