Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tayari nini?Tayariii
Demiss kama utawapa wanachokitafuta basi na Mimi takuja huko Pm.Mm sipendi Mijanaume imeoa na ina familia inakuja pm kutongozaaa wanachokitafuta watakipata.
Wewe Kaa Kimya Kabla cjapost Mambo Yako Hapa.Wivu tu unaokusumbua kwani usipowapenda wewe unahisi umepunguza nini kwao.
Humpendi Vladimirovich Putin na sidhani kama hata yeye anahitaji kupendwa na wewe acha kujivika vyeoo....
wanahisi wakitupa huo uhuru huu umangi meza wao kumbembeleza mod afute thread yako utakuwa ndio basi. maana wanapenda kunyenyekewa mno.Mimi ni muhanga Wa hyo Kitu
Mxieeee umevurugwa au vyuma vimekukaza post hayo mambo yangu wewe vipiWewe Kaa Kimya Kabla cjapost Mambo Yako Hapa.
Hivi unahisi **** yangu haina kazi mpaka nikupe MTU kama wewe...hata kama haina macho naona unautafutia kiki Uzi wako kilazimaMkuu Huyu Mima ndo Yule Wanaemuita Malaika Wakati Tiali Tushatafuna Before.
Hahaaaa!! Utoto tu huo, wakikua wataacha.Binafsi siwapendi watu wanaokua wakwanza kuchangia Uzi wowote ule, lakini uchangiaji wao unakua kama hivi,,Ngoja waje, subiri wanakuja,,,.Kiukweli hua nachukia sana na hawa watu.
Wanachokitafuta lazma wakianzishie uziiDemiss kama utawapa wanachokitafuta basi na Mimi takuja huko Pm.