KikulachoChako
JF-Expert Member
- Jul 21, 2013
- 19,185
- 37,239
Sent n receivedMimi kero yangu kubwa na jambo nisilolipenda ni tabia ya baadhi watu kupenda kupiga soga au kuanzisha maongezi kwenye nyuzi za watu.........yaani mpaka wanao ndoa ladha ya uzi
Labda tu niwaambie kuwa kila uzi unaoanzishwa huwa unaanzishwa kwa lengo la watu kuelimishana na kupashana Habari juu ya jambo hilo.....kuna watu wanafaidika na taarifa na michango itolewayo na wadau mbali mbali kwenye uzi huo kuhusu mada husika!!!....mnapoanza mjadala wenu kati kati ya uzi wa mtu mwingine unaozungumzia mambo mengine ni kuharibu maudhui ya uzi husika........
Muungwana na vitendo!!
Samahanini nyote ambao kwa namna moja au nyingine mmekwazika na huu mtazamo wangu......
A L A M S I K I
Wengne hugeuza uzi kuwa sehemu yao ya kuongelea mambo yaoKero yangu ni pale maada Inapowekwa ili watu waijadili Kwa hoja lakin hugeuka vituko watu kushutumiana ama kumshutumu mleta hoja badala ya kujibu hoja Kwa kutumia hoja kinzani
Hata hawajistukii , Kwa muungwana hafanyi hivi katuWengne hugeuza uzi kuwa sehemu yao ya kuongelea mambo yao
Aiseee sikuiona hii commentLisemwalo lipo. Kama mnasemwa wachafu ujue wapo hao wachafu hata km cy ww.
Kujisifu kakukula ujue umeliwa kweli[emoji3][emoji3][emoji3]
hahaaa..kuna talofauti kubwa ya msichana na mke ama msichana na mwanamke "" Mwanamke ni hili hali ya ukomavu "" wa jinisia" na akili ..the same kwa mwanaume pia.... hope umenipata ""Haha..... that day people expected we would react tofauti mweh sio mahondaw aliefunzwa na Smart911 labda NEVER again in jf.