Andika usichokipenda humu JamiiForums

Andika usichokipenda humu JamiiForums

Mimi kero yangu kubwa na jambo nisilolipenda ni tabia ya baadhi watu kupenda kupiga soga au kuanzisha maongezi kwenye nyuzi za watu.........yaani mpaka wanao ndoa ladha ya uzi

Labda tu niwaambie kuwa kila uzi unaoanzishwa huwa unaanzishwa kwa lengo la watu kuelimishana na kupashana Habari juu ya jambo hilo.....kuna watu wanafaidika na taarifa na michango itolewayo na wadau mbali mbali kwenye uzi huo kuhusu mada husika!!!....mnapoanza mjadala wenu kati kati ya uzi wa mtu mwingine unaozungumzia mambo mengine ni kuharibu maudhui ya uzi husika........

Muungwana na vitendo!!

Samahanini nyote ambao kwa namna moja au nyingine mmekwazika na huu mtazamo wangu......

A L A M S I K I
 
Sent n received
 
Kero yangu ni pale maada Inapowekwa ili watu waijadili Kwa hoja lakin hugeuka vituko watu kushutumiana ama kumshutumu mleta hoja badala ya kujibu hoja Kwa kutumia hoja kinzani
 
sipendi mtu anaekot uzi mrefu
Aisee hii inaboa kila mtu mkuu. Somtmes mtoa mada anakataza kabisaa mtu kukot lakin limtu linafanya kama halijui ni kero
 
Kero yangu ni pale maada Inapowekwa ili watu waijadili Kwa hoja lakin hugeuka vituko watu kushutumiana ama kumshutumu mleta hoja badala ya kujibu hoja Kwa kutumia hoja kinzani
Wengne hugeuza uzi kuwa sehemu yao ya kuongelea mambo yao
 
Haha..... that day people expected we would react tofauti mweh sio mahondaw aliefunzwa na Smart911 labda NEVER again in jf.
hahaaa..kuna talofauti kubwa ya msichana na mke ama msichana na mwanamke "" Mwanamke ni hili hali ya ukomavu "" wa jinisia" na akili ..the same kwa mwanaume pia.... hope umenipata ""
 
Kakupata
 
Back
Top Bottom