KikulachoChako
JF-Expert Member
- Jul 21, 2013
- 19,185
- 37,239
Mimi kero yangu kubwa na jambo nisilolipenda ni tabia ya baadhi watu kupenda kupiga soga au kuanzisha maongezi kwenye nyuzi za watu.........yaani mpaka wanao ndoa ladha ya uzi
Labda tu niwaambie kuwa kila uzi unaoanzishwa huwa unaanzishwa kwa lengo la watu kuelimishana na kupashana Habari juu ya jambo hilo.....kuna watu wanafaidika na taarifa na michango itolewayo na wadau mbali mbali kwenye uzi huo kuhusu mada husika!!!....mnapoanza mjadala wenu kati kati ya uzi wa mtu mwingine unaozungumzia mambo mengine ni kuharibu maudhui ya uzi husika........
Muungwana na vitendo!!
Samahanini nyote ambao kwa namna moja au nyingine mmekwazika na huu mtazamo wangu......
A L A M S I K I