Andika usichokipenda humu JamiiForums

Sipendi mtu anawaeleza watu huko PM kuwa yeye ndo Kasinde aka Kasie ili apate michongo ya hela.

Nyaamaaafff pambana na hali yako ujenge jina lako sio ule kwa nguvu na mgongo wa mwenzako.....pambana na uchumi wako.

Ever Smiling Kasie.
 
Sipendi mtu anawaeleza watu huko PM kuwa yeye ndo Kasinde aka Kasie ili apate michongo ya hela.

Nyaamaaafff pambana na hali yako ujenge jina lako sio ule kwa nguvu na kupambana kwako.

Ever Smiling Kasie.
Miss you my uuuuuh [emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji7]
 
Sipendi mtu mwanaume halaf anatumia avatar ya kike au mwanaume anatumia i'd ya kiume na kujifanya yeye ni ke ndio nini sasa au unatuonea wivu
Mimi pia sipendi hii kitu
Au mtu anapita pm za wadada kutongoza alafu anaanzisha uzi kuwasema wadada wa humu wanajiuza, cjui maji mara moja, cjui wapiga dili n.k sasa cjui unapata faida gani baada ya hapo.
 
Sipendi tabia ya watu wanaojuana kuingilia nyuzi za watu na mazungumzo yao binafsi
Hahaaaa. Imebidi Nicheke kwanza ni Kama MTU una Birthday Party Alafu Wanakuja watu Wanaanza Kuimbiana Wao Wenyewe as if Party Ni Yao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…