Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mapenzi yao ni kama ya bongo movie wanaactHicho tu jamani swahiba. Duuh.
Miss you my uuuuuh [emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji7]Sipendi mtu anawaeleza watu huko PM kuwa yeye ndo Kasinde aka Kasie ili apate michongo ya hela.
Nyaamaaafff pambana na hali yako ujenge jina lako sio ule kwa nguvu na kupambana kwako.
Ever Smiling Kasie.
Uliza ufundishweukikosea kuandika comment huwezi ku edit
Mzee mkubwa sikuoni sikuhizi.Hii wazee Wa kubet tunaita ngumu kumeza.
Mimi pia sipendi hii kituSipendi mtu mwanaume halaf anatumia avatar ya kike au mwanaume anatumia i'd ya kiume na kujifanya yeye ni ke ndio nini sasa au unatuonea wivu
Mimi pia sipendi hii kitu
Wanaanza kusherehekea harusi kabisa.[emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahaaaa. Imebidi Nicheke kwanza ni Kama MTU una Birthday Party Alafu Wanakuja watu Wanaanza Kuimbiana Wao Wenyewe as if Party Ni Yao
Watu kama hao unawakalia kimya unajibu pm zao za niniii bora uambiwe unaringa tuMimi pia sipendi hii kitu
Au mtu anapita pm za wadada kutongoza alafu anaanzisha uzi kuwasema wadada wa humu wanajiuza, cjui maji mara moja, cjui wapiga dili n.k sasa cjui unapata faida gani baada ya hapo.
Hahahaaaa!! Mtuhumiwa kajitokeza?
Yaani atongoze yeye akikataliwa ajitangazie katongozwa, teh teh teeeeh!!Watu kama hao unawakalia kimya unajibu pm zao za niniii bora uambiwe unaringa tu
Numbisa just write whatever... Nitamwaga LIKE Mara 1000 just to make you feel happy jamaniSipendi kukosa likes
Ahahahhh akikataliwa anakuja kutangaza huku maji mara moja ameshakwichi kwichi nae na yeye ndio mtongozajiYaani atongoze yeye akikataliwa ajitangazie katongozwa, teh teh teeeeh!!