Hahahaa.Mapenzi yao ni kama ya bongo movie wanaact
Asante kwa ushauri sasa hv ni mwendo wa [emoji358]Watu kama hao unawakalia kimya unajibu pm zao za niniii bora uambiwe unaringa tu
On my way my Numbisa [emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji7]Oooh waaooww haya nenda uzi wa kupeana likes unimwagie hizo likes
Sijamuona mtag basiHahahaaaa!! Mtuhumiwa kajitokeza?
Kumbe hua mnaonwa tunavyosemwa vibaya eeMimi pia sipendi hii kitu
Au mtu anapita pm za wadada kutongoza alafu anaanzisha uzi kuwasema wadada wa humu wanajiuza, cjui maji mara moja, cjui wapiga dili n.k sasa cjui unapata faida gani baada ya hapo.
Can you tag me to that thread coz I don't see it.....Am waiting
Haujaona quote yangu nimekwambia uzi umefunguliwaHuu uzi si ulifungwa jamanii
Ukiona huyu mtu anakupm ni kukusumbua na salaam nyingiii akiingia akitoka salaam we mchunie tu mana wanaume wa humu wanapenda kusalimia salimia pm hata mara 5 kwa sikuAsante kwa ushauri sasa hv ni mwendo wa [emoji358]
Sijaona my,,sipati notificationHaujaona quote yangu nimekwambia uzi umefunguliwa
Can you tag me to that thread coz I don't see it.....
PoyeeeSijaona my,,sipati notification
Great. Thx my [emoji64] [emoji66]Done
Poyeee
Nimemuona kapendeza na imempenda haswaaUmemuona nampa papa?she is prego
Nimemuona kapendeza na imempenda haswaa
ukikosea kuandika comment huwezi ku edit