Andika usichokipenda humu JamiiForums

Andika usichokipenda humu JamiiForums

Mimi pia sipendi hii kitu
Au mtu anapita pm za wadada kutongoza alafu anaanzisha uzi kuwasema wadada wa humu wanajiuza, cjui maji mara moja, cjui wapiga dili n.k sasa cjui unapata faida gani baada ya hapo.
Kumbe hua mnaonwa tunavyosemwa vibaya ee
 
Nawaona nawaona wale wazee wa kuwala Dada Wa kazi mnavyofurahi baada ya madogo kurudi shule maana ulibaniwa mwezi mzima[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]

Nawaona wale ambao walikuwa wanashindwa kuvusha kisa madogo wapo, mmefurahi leo kwamba utaanza kuvusha[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
 
ukikosea kuandika comment huwezi ku edit
20180108_174613.png

Kama unatumia mobile application....

1. Touch eneo kama nilivyo zungushia duara kwenye hiyo picha.

20180108_174804.png


2. Kishauta touch kama nilivyo elekeza kwenye picha kwa kuzungushia duara kwenye picha.

20180108_174900.png


3. Kisha utamalizi kwa kuandika nakisha malizia kwaku touch kama nilivyo zungushia duara kwenye picha hiyo.....

Hapo unakua umemaliza na imeenda
 
Back
Top Bottom