Andika usichokipenda humu JamiiForums

Ukiona huyu mtu anakupm ni kukusumbua na salaam nyingiii akiingia akitoka salaam we mchunie tu mana wanaume wa humu wanapenda kusalimia salimia pm hata mara 5 kwa siku
Yaan wanasalimia hao toka nifunge pm namshukuru Mola,,wanasalimia kweki mpaka kero
 
ukikosea kuandika hauwezi kuedit ........hahaha acha uongo man DEADBODY NIMEBADILI COMMENT YAKO NA NIMEIPAKA RANGI comment huwezi ku edit
Mkuu haupo serious kabisa maana ninaweza hata kuedit koment yako.Angalia hapo nilivyoongeza Deadbody kwenye maelezo yako japo hukuweka
 
Hili ndio janga la wanaume wa jf salaam mara kumi atakuja asubuhi morning shunie itaenda eeenh atakuja mchana mambo mzima atarudi tena vipii za kwako khaaaa atarudi usiku tena usiku mwema hapana jaman wanakera
Aisee [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Sipendi mtu mwanaume halaf anatumia avatar ya kike au mwanaume anatumia i'd ya kiume na kujifanya yeye ni ke ndio nini sasa au unatuonea wivu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna mmoja ana id mbili..moja ya me nyingine ya ke. Madai yake huyo ke ndo demu wake, basi kazi aliyonayo kujibebisha huku na huku si mchezo.
 
Jf kutowapa members kitufe cha ban ya uhakika.Uongozi Jf mtupe members kitufe cha ban ya milele mtu akikuudhi unampiga ban totally block na ignore haifanyi ipasavyo
Naunga mkono hoja.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna mmoja ana id mbili..moja ya me nyingine ya ke. Madai yake huyo ke ndo demu wake, basi kazi aliyonayo kujibebisha huku na huku si mchezo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwahiyo maneno yako kwenye picha yanamaanisha usiiamini KARMA? Binafsi sipendi watu wanaoQUOTE UZI MREFU, wanaboa sana, mtu anaquote uzi mreeeeeefu halafu anasifia tu "nimekuelewa sana mkuu" yaani kivyovyote vile uzi mrefu USIQUOTE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…