Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 154,929
- 459,607
Mwenyewe anajikatia tamaa mdomo huumba shauri yakeHope one day wema nae ataipata. Tatizo ana maneno makali ya kukatisha tamaa ati atafunga kizazi akifikisha miaka 30
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwenyewe anajikatia tamaa mdomo huumba shauri yakeHope one day wema nae ataipata. Tatizo ana maneno makali ya kukatisha tamaa ati atafunga kizazi akifikisha miaka 30
Sio kweli mkuu unawasingizia JFukikosea kuandika DEADBODY comment huwezi ku edit
Yaan wanasalimia hao toka nifunge pm namshukuru Mola,,wanasalimia kweki mpaka keroUkiona huyu mtu anakupm ni kukusumbua na salaam nyingiii akiingia akitoka salaam we mchunie tu mana wanaume wa humu wanapenda kusalimia salimia pm hata mara 5 kwa siku
Mkuu haupo serious kabisa maana ninaweza hata kuedit koment yako.Angalia hapo nilivyoongeza Deadbody kwenye maelezo yako japo hukuwekaukikosea kuandika hauwezi kuedit ........hahaha acha uongo man DEADBODY NIMEBADILI COMMENT YAKO NA NIMEIPAKA RANGI comment huwezi ku edit
Hili ndio janga la wanaume wa jf salaam mara kumi atakuja asubuhi morning shunie itaenda eeenh atakuja mchana mambo mzima atarudi tena vipii za kwako khaaaa atarudi usiku tena usiku mwema hapana jaman wanakeraYaan wanasalimia hao toka nifunge pm namshukuru Mola,,wanasalimia kweki mpaka kero
Mi nilifunga,,na namba wanavyoomba sasa utafikiri hata wanatuma pesa kumbe ni salam tuHili ndio janga la wanaume wa jf salaam mara kumi atakuja asubuhi morning shunie itaenda eeenh atakuja mchana mambo mzima atarudi tena vipii za kwako khaaaa atarudi usiku tena usiku mwema hapana jaman wanakera
Mkuu,kwani ni uongo ? Ni kweli mna tabia chafu ila ingawa sio woteSipendi tabia ya kutusema wanawake vibaya humu,sasa hiv tumewaundia dawa mujarabu kabisa
Aisee [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hili ndio janga la wanaume wa jf salaam mara kumi atakuja asubuhi morning shunie itaenda eeenh atakuja mchana mambo mzima atarudi tena vipii za kwako khaaaa atarudi usiku tena usiku mwema hapana jaman wanakera
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sipendi mtu mwanaume halaf anatumia avatar ya kike au mwanaume anatumia i'd ya kiume na kujifanya yeye ni ke ndio nini sasa au unatuonea wivu
Naunga mkono hoja.Jf kutowapa members kitufe cha ban ya uhakika.Uongozi Jf mtupe members kitufe cha ban ya milele mtu akikuudhi unampiga ban totally block na ignore haifanyi ipasavyo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna mmoja ana id mbili..moja ya me nyingine ya ke. Madai yake huyo ke ndo demu wake, basi kazi aliyonayo kujibebisha huku na huku si mchezo.
NakojooooooaaaaaaaaaNaunga mkono hoja.
Wewe!!!!Nakojooooooaaaaaaaaa
NiajeeeWewe!!!!
Ukishakojoa kalale.Niajeee