Andika usichokipenda humu JamiiForums

Andika usichokipenda humu JamiiForums

1. Attention whoring.

In any way and form. Kujisifia unatongozwa sana au unafanya mapenzi kwa wingi, kulalamikia kuumizwa wakati pindi mnapigana mashine hatukufahamu, kuna mjinga alikuwa na mtindo wa kuquote comments kibao alafu anaweka links za threads zake tukasome...

Upumbavu kama huo wa kutaka umaarufu hapa jukwaani.


hehehehe ngoja nile zangu pepeta mie hapa
 
We hajauona huu uzii,,akija hapaa mtaambiwa mna ukimwi hhaaa
Hahaha hahaha hahaha.....nimecheka peke yangu room hapa hadi Nancy Kanigongea Anauliza nacheka Nini Nimejibu JF Kuna Vituko Kishenzi Vimenifanya Nicheke
 
Mimi pia sipendi hii kitu
Au mtu anapita pm za wadada kutongoza alafu anaanzisha uzi kuwasema wadada wa humu wanajiuza, cjui maji mara moja, cjui wapiga dili n.k sasa cjui unapata faida gani baada ya hapo.

woyoooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo

hajui watu wana kazi zao mxiewwwwwwww! mwingie hana mbele wala nyuma ati anakuja ohh naombwa sana pesa pm na wadada heheheheh kiruuu!kuombwa pesa kipaji nacho ujue
 
6be6a4ead58663235952aa0b152f9394.jpg


Anae ijua Hii Movie. Nitamuungia Bando La internet.
 
Mi nilifunga,,na namba wanavyoomba sasa utafikiri hata wanatuma pesa kumbe ni salam tu

HAHAHAHA uwiiii woyooo inategemea na ntu na ntu shoga! kuna hizi lunhc ndo usisemee wababa na wakaka humu akuu hawana roho ya hiana jaman !unajaziwa full tenk hata hakufahamu ! wknd unatumiwa za wine kiruuu !siwezi kufunga pm mie ! niwe mkweli tu !na uzuri siombagi akuuu mie walaaa! na nyie mnaopenda kutupga tafu na nyie mkikwama mtuambiege !ila mwisho mie kutuma 20!lol
 
Back
Top Bottom