Andika usichokipenda humu JamiiForums

Andika usichokipenda humu JamiiForums

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna mmoja ana id mbili..moja ya me nyingine ya ke. Madai yake huyo ke ndo demu wake, basi kazi aliyonayo kujibebisha huku na huku si mchezo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kumbe unamjua eenh hao wananikera sana hivi kwa ninii wanatufanya sisi watoto au mtu mmoja ana I'd 3 anajibishana nazo watu mnaona wapo busy na mahaba kumbe ni jeshi la mtu mmoja jf hapana
 
Yaan wanapenda kuomba no utafikili anaweza kukutumia hata elf 2 ya voucher kumbe anataka kuendeleza salaam zake na kukuchungulia kwa dp
Yap hapa nataka nije nibadili namba ya whatsapp,,yaan ni kusalimia tu utafikiri sie tunapenda salamu
 
HAHAHAHA uwiiii woyooo inategemea na ntu na ntu shoga! kuna hizi lunhc ndo usisemee wababa na wakaka humu akuu hawana roho ya hiana jaman !unajaziwa full tenk hata hakufahamu ! wknd unatumiwa za wine kiruuu !siwezi kufunga pm mie ! niwe mkweli tu !na uzuri siombagi akuuu mie walaaa! na nyie mnaopenda kutupga tafu na nyie mkikwama mtuambiege !ila mwisho mie kutuma 20!lol
Bora wewe sie ni salam mwasho mwisho inabidi nikugawie ,,yanatia gundu tu
Eti mwisho 20
 
woyoooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo

hajui watu wana kazi zao mxiewwwwwwww! mwingie hana mbele wala nyuma ati anakuja ohh naombwa sana pesa pm na wadada heheheheh kiruuu!kuombwa pesa kipaji nacho ujue
Hhhhaaaaa
 
Back
Top Bottom