Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sema kama hujui kuedit post uelekezweukikosea kuandika comment huwezi ku edit
Pole sana mkuu
Yaan wanapenda kuomba no utafikili anaweza kukutumia hata elf 2 ya voucher kumbe anataka kuendeleza salaam zake na kukuchungulia kwa dpMi nilifunga,,na namba wanavyoomba sasa utafikiri hata wanatuma pesa kumbe ni salam tu
Young usishangae yaan wapo hivyo kwa siku unajikuta pm zinajaa salaam tu na kuombwa noAisee [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kumbe unamjua eenh hao wananikera sana hivi kwa ninii wanatufanya sisi watoto au mtu mmoja ana I'd 3 anajibishana nazo watu mnaona wapo busy na mahaba kumbe ni jeshi la mtu mmoja jf hapana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna mmoja ana id mbili..moja ya me nyingine ya ke. Madai yake huyo ke ndo demu wake, basi kazi aliyonayo kujibebisha huku na huku si mchezo.
Yap hapa nataka nije nibadili namba ya whatsapp,,yaan ni kusalimia tu utafikiri sie tunapenda salamuYaan wanapenda kuomba no utafikili anaweza kukutumia hata elf 2 ya voucher kumbe anataka kuendeleza salaam zake na kukuchungulia kwa dp
Mrembo si ulisema unapenda mitongozo? vumilia bado mtongozo wangu!Mm sipendi Mijanaume imeoa na ina familia inakuja pm kutongozaaa wanachokitafuta watakipata.
Wa pili kaka yangu nataman aje ashushe gazeti hapaaHeeehehehehe! Mtuhumiwa Wa kwanza Kaja[emoji28] [emoji28] [emoji28]
Wanakera sana hawajui tu ushasalimia mara moja inatosha endelea na mambo zakoYap hapa nataka nije nibadili namba ya whatsapp,,yaan ni kusalimia tu utafikiri sie tunapenda salamu
Hivi kulike post ni tatizo eenhWa pili kaka yangu nataman aje ashushe gazeti hapaa
Bora wewe sie ni salam mwasho mwisho inabidi nikugawie ,,yanatia gundu tuHAHAHAHA uwiiii woyooo inategemea na ntu na ntu shoga! kuna hizi lunhc ndo usisemee wababa na wakaka humu akuu hawana roho ya hiana jaman !unajaziwa full tenk hata hakufahamu ! wknd unatumiwa za wine kiruuu !siwezi kufunga pm mie ! niwe mkweli tu !na uzuri siombagi akuuu mie walaaa! na nyie mnaopenda kutupga tafu na nyie mkikwama mtuambiege !ila mwisho mie kutuma 20!lol
Hhhhaaaaawoyoooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo
hajui watu wana kazi zao mxiewwwwwwww! mwingie hana mbele wala nyuma ati anakuja ohh naombwa sana pesa pm na wadada heheheheh kiruuu!kuombwa pesa kipaji nacho ujue
Bora wewe sie ni salam mwasho mwisho inabidi nikugawie ,,yanatia gundu tu
Eti mwisho 20
Pipa tupuuu,,,mnahangaika tu humu ndani ,,,na mnawaua wenzenuuSIKUOGOPIIII