Hata wanaume pia tabia chafuMkuu,kwani ni uongo ? Ni kweli mna tabia chafu ila ingawa sio wote
Kwanini mkuu?Sipendi kuitwa mkuu
Labda,bt hatujawazidi nyieHata wanaume pia tabia chafu
Kwanini mkuu?
Hahaha haha bila shaka umemlenga nilie mtaja Katika Uzi Huu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna mmoja ana id mbili..moja ya me nyingine ya ke. Madai yake huyo ke ndo demu wake, basi kazi aliyonayo kujibebisha huku na huku si mchezo.
Akiwakutaa mtamtambuaaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna mmoja ana id mbili..moja ya me nyingine ya ke. Madai yake huyo ke ndo demu wake, basi kazi aliyonayo kujibebisha huku na huku si mchezo.
Mnachokitafuta mtakipata nasemaHatuta Katika PM Mkuu. Hata Tukiwa Na Wake Watano[emoji28]
Pole sana mkuuKwasababu sipendi mkuu
Akija hapa atawaandikia kiarabu kwa herufi kubwaHahaha haha bila shaka umemlenga nilie mtaja Katika Uzi Huu
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Hahaha haha bila shaka umemlenga nilie mtaja Katika Uzi Huu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwani we unamjua?Akiwakutaa mtamtambuaaaa
We hajauona huu uzii,,akija hapaa mtaambiwa mna ukimwi hhaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwani we unamjua?