Nipo fresh jaman ungenitag nimepata shida kuona comment yako miss udemis hope upo frsh
Mkuu nije Pm Unipe Ninachokitafuta
SIKUOGOPIIIIAkija hapa atawaandikia kiarabu kwa herufi kubwa
1. Attention whoring.
In any way and form. Kujisifia unatongozwa sana au unafanya mapenzi kwa wingi, kulalamikia kuumizwa wakati pindi mnapigana mashine hatukufahamu, kuna mjinga alikuwa na mtindo wa kuquote comments kibao alafu anaweka links za threads zake tukasome...
Upumbavu kama huo wa kutaka umaarufu hapa jukwaani.
Bwana mi staki kukutwa na bwana pepsi, SHAURI LENU NAWAAMBIA!!;Rudi Hapa. Kuja Upesi
Ngj nikakuchungulie maana naona pm Imejaaa mpaka inakataa kufunguka inaniambia "please wait"Mbona Hujajibu Pm Yangu?
Poa tu, sitishwi na mtu. Mimi ndo mimiMimekudharau Sana[emoji28] [emoji28] [emoji28]
Mimi pia sipendi hii kitu
Au mtu anapita pm za wadada kutongoza alafu anaanzisha uzi kuwasema wadada wa humu wanajiuza, cjui maji mara moja, cjui wapiga dili n.k sasa cjui unapata faida gani baada ya hapo.
bado !huenda leo ana vipindi fullHahahaaaa!! Mtuhumiwa kajitokeza?
Mi nilifunga,,na namba wanavyoomba sasa utafikiri hata wanatuma pesa kumbe ni salam tu