Andika usichokipenda humu JamiiForums

Andika usichokipenda humu JamiiForums

[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] nimecheka sana nikamwambia sasa kama sakayo kakubali shemeji ndio utanikula au bwana tutajua mbele kwa mbele mradi nimeshakubalika
Hahaha
Aiseee
 
Hebu acha hizo Shunie hebu chukua bulungutu ukajirushe kwa raha zako.😡

Ekyoma kanishinda ananiambia me najisikia kukuhonga halaf hutaki akija akiniletea hizo mambo za kunihonga nitamwambia akutumie wewe
 
Back
Top Bottom