Andiko hii 1 Samweli 15 linatoa picha kinachoendelea huko Israel

Nje ya mada .hii inamaanisha huna jibu
 
Ufunuo wa Yohana 22:18 Namshuhudia kila mtu ayasikiaye maneno ya unabii wa kitabu hiki, Mtu ye yote akiyaongeza, Mungu atamwongezea hayo mapigo yaliyoandikwa katika kitabu hiki.
Acha unafk mbona kitabu kimeshabdiliwa ..ndio maana kuna agano jipya na la kale ..bibilia mda wowote mkitaka mna edit tuh
 
Acha unafk mbona kitabu kimeshabdiliwa ..ndio maana kuna agano jipya na la kale ..bibilia mda wowote mkitaka mna edit tuh
Unafiki siachi. Nakuhakikishia hilo

Leta andiko la asili waliloibadili ili nizodoke.

Biblia siyo kitabu cha menu ya tandoor na sekela kwamba uibadili upendavyo.
 
Haitakuwa mara ya kwanza Biblia kufanyiwa maboresho.
Kwa rekodi yako itakuwa mara ya ngapi ikifanyiwa maboresho?

Pia, kwa nini utusumbue wabishi sisi humu badala ya kuwaendea wanaoboresha Bible na kuwaelekeza hoja yako?
 
Mbele ya Mungu binadamu ni kama vyombo vya udongo kwa mfinyanzi.
Mfinyanzi anaweza kupasua vyombo vyote vikubwa kwa vidogo kama apendavyo bila kuhitaji kujieleza kwa yeyote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…