Andiko kwa Heaven Sent kuhusu mwandiko wake

Sawa bhana. Mkuu Heaven Sent kasikia kilio chako na atakifanyia kazi.
 
Yaani nifanye mazoezi ya kubeba kapu la mama kabla sijaiona hela!!!!
Benny nilikuambia ufanye mchakato haraka unazubaa tu, unaona sasa ninavyopata usumbufu!!!!
Mke wangu ananielewa
anajua nipo hapa,
hata mbali anajua nilipo
anajua mimi ni nani kwake,

simuandikii uzi,
ninajua ni kipi cha thamani
kwake yeye ni mke
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…