Raynavero
JF-Expert Member
- Apr 29, 2014
- 38,378
- 56,047
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nimecheka kwa nguvuuu km mwehuNimpende au nimuonee Imani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nimecheka kwa nguvuuu km mwehuNimpende au nimuonee Imani?
Pana kibao kimoja kimepigwa na nani sijui kinasema "usikilize moyo wako "nadhani nitakuwa nimejibu kiungwana zaidi kuliko kuwa biasNimpende au nimuonee Imani?
Hahaha kweli binamu, mapenzi ya kuoneana huruma hayapogo,[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nimecheka kwa nguvuuu km mwehu
Eeh hapo sawa kabisa. Ila kuwa na mtu kisa unamuonea huruma, mmh ni shidaPana kibao kimoja kimepigwa na nani sijui kinasema "usikilize moyo wako "nadhani nitakuwa nimejibu kiungwana zaidi kuliko kuwa bias
Waache watoto wajenge maisha yao shemeji kama motokali wataleta baadae.[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Nikajua mshayajenga pm, nasubiri tu kagari kamoja. Au ndi zile zileee za ahadi hewa.
Anapenda offer huyo khaaWaache watoto wajenge maisha yao shemeji kama motokali wataleta baadae.
Lakini ni mzazi nenda nae taratibu asije akakumwagia radhiAnapenda offer huyo khaa
Ndio maana nikatoa angalizo hilo ndoa ni ya wawili sisi tunabaki wachezea pembeni tu.Eeh hapo sawa kabisa. Ila kuwa na mtu kisa unamuonea huruma, mmh ni shida
Wacha we!!Haha hadi sasa hivi nishapata hela ya birthday, Christmas na mwaka mpya teh
Viranga vyao, mie sikuwaomba shemeji, walijitutumua wenyewe. Sasa nashangaa miaka inakatika tu.Waache watoto wajenge maisha yao shemeji kama motokali wataleta baadae.
Kwani niliwaomba, si mlijitutumua wenyewe.Anapenda offer huyo khaa
Ok kumbe waliahidi? shem huyu mtoto atakuja kutuchonganisha huyu ajue ahadi ni deni nami nitajitahidi kumkumbusha pole sana shemeji kwa kukufikiria visivyo.Viranga vyao, mie sikuwaomba shemeji, walijitutumua wenyewe. Sasa nashangaa miaka inakatika tu.
Ahadi wanatoa tu ila hawatekelezi.Ok kumbe waliahidi? shem huyu mtoto atakuja kutuchonganisha huyu ajue ahadi ni deni nami nitajitahidi kumkumbusha pole sana shemeji kwa kukufikiria visivyo.
Hapana shemeji tusifike huko bado ni wanetu shusha pumzi kwanza kanywe maji kisha tutaendeleaAhadi wanatoa tu ila hawatekelezi.
Ngoja kuna siku tawatimua.
Sasahivi sikubali ahadi hewa, ukija mikono mitupu nakutimua tu.Hapana shemeji tusifike huko bado ni wanetu shusha pumzi kwanza kanywe maji kisha tutaendelea
Umekunywa maji lakini shemeji? bint yetu ana thamani kuliko hizo ahadi na zawadi ukubwa jalala shem kumbuka hilo.Sasahivi sikubali ahadi hewa, ukija mikono mitupu nakutimua tu.
Thamani yake ni hakunaga mfano,wapi nimesema hana thamani?Umekunywa maji lakini shemeji? bint yetu ana thamani kuliko hizo ahadi na zawadi ukubwa jalala shem kumbuka hilo.
Basi shemeji tunajua unampenda sana dota ila kumtimua sababu hajatimiza ahadi hapo ndio hatukwenda sawa nadhani sasa tumeliweka sawa.Thamani yake ni hakunaga mfano,wapi nimesema hana thamani?
Sawa bhana. Mkuu Heaven Sent kasikia kilio chako na atakifanyia kazi.To you Dearest Heaven Sent,
Seems like I have fallen in love with you…you are just the best! Now all I want to say is that I can't live without you and don't even want to. You are the best thing that has ever happened to me and i think you'll make my life complete. I adore you from my heart and soul and want to let you know that you are my little angel who i love the most. Only mwandiko wako was enough to fill my heart with this enormous LOVE. You make me so happy anytime i read ur post/comment..., that all I need now is you to make my life complete.
Your's the one and only Korboto.
cc atoto fanya mazoezi ya kubeba kapu la mama.
Mke wangu ananielewaYaani nifanye mazoezi ya kubeba kapu la mama kabla sijaiona hela!!!!
Benny nilikuambia ufanye mchakato haraka unazubaa tu, unaona sasa ninavyopata usumbufu!!!!