Mmmmh awamu hii sidhani kama kuna asiye fanya mazoezi mkuu. Kama sio physically basi physcologically unapiga tizi mkuu. Matokeo ni kupwaya kwa nguo zako.Sasa kwa sisi tuliowavivu wa mazoezi tunasaidiwaje?
Neno tuu! !! Ngoja nikuandalieHS nilale na neno gani leo?
HS nilale na neno gani leo?
Neno tuu! !! Ngoja nikuandalie
Haha anatumia avatar yangu now lolMbona naona double ya Heavent Sents wawili? au hangover haijaniisha!
Mbona naona double ya Heavent Sents wawili? au hangover haijaniisha!
Wa kwanza nani mkuu ?naona mtu wa pili huyu anatumia Avataar ya mtu mwengine ku express the feelings
Ha ha ha ha haNafikiri huu ni ujanja mpya wa kuwapata wadada wa JF baada ya dada hawa kuwa na tabia ya kufunga pm zao!
Haijakuisha bado unaona double double nikuletee togwa uzimue Kui? πππ
Asee nitashukuru, ongeza na soup na coffee, cos nionavyo sivo...
HS kwa mpango huu itabidi ufanye mpango wa kufanya show ya Bachelorette, naona namba na idadi ya wanaotakiwa itakuwa imefikia.
Cc BAK
Haha[emoji23] [emoji23] [emoji23] . Kumbe kuna fursa eehHS kwa mpango huu itabidi ufanye mpango wa kufanya show ya Bachelorette, naona namba na idadi ya wanaotakiwa itakuwa imefikia.
Cc BAK
Bachelorette tena lol! Kuna njemba mmoja hakuwahi hata kukiss na mrembo. Alipoulizwa wewe unakuja hapa kutafuta mrembo ambaye labda anaweza kuja kuwa mkeo mbona hata kukiss hukuwahi kukiss naye? akajibu mie nilikuwa sijui kama tunatakiwa kukiss lol! huh!
Kuna yule aliyeshiriki bachelorette moja akafika mpaka mwisho wakabaki njemba wawili na watu wengi walidhani mrembo angemchagua yeye lakini hakuchaguliwa. Na yule mwenzie alikuwa anamchukia sana kuna wakati karibu wachapane makonde kisa mrembo. Jamaa ambaye hakuchaguliwa akaweka hadharani kwamba alikula mzigo. Yule aliyechaguliwa hili lilimtesa sana moyoni na hatimaye likawa chanzo cha kutengana. Juzi kwenye paradise kapata mrembo wake mama mwenye mabinti wawili wadogo.
Hahahah!, asee mbona vituko, sijaiangalia kitambo sasa. Huyo wa kutokujua kuhusu kiss kaniacha hoi, aliingia kwenye show bila kujua inaendaje.
Itabidi tumuwekee HS wetu ma bouncer wa nguvu, kwa mpango huu Bachelorette bongo watu watapigana kwenye show asee! π
Hahahah!, asee mbona vituko, sijaiangalia kitambo sasa. Huyo wa kutokujua kuhusu kiss kaniacha hoi, aliingia kwenye show bila kujua inaendaje.
Itabidi tumuwekee HS wetu ma bouncer wa nguvu, kwa mpango huu Bachelorette bongo watu watapigana kwenye show asee! π
Mnusuru mshikajiMe sijafunga bana, itakuwa tu nafsi yake imejisikia kuniandikia lol