Andiko kwa Heaven Sent kuhusu mwandiko wake


Hehe!, pole zake mbona..

Bachelorette Bongo ngumi zitaruka na kipindi kufutwa lol! Hata hii nina wasiwasi kuna siku mtu atakimbizwa hospital baada ya kutolewa ngeu.


Tehe!, ningependa kweli lakini kuona inakuwaje bongo. Jinsi ambavyo MMU ya humu inavyokuwa, so imagine ifanyike show kabisa ya kutafuta mchumba wa kike au wa kiume. Sintashangaa kuona siku anajitokeza mke au mume wa mtu kusema mwenzake kadanganya kusema yuko single anatafuta mchumba, na hapo ndo ngumi zitakapoanza. 😀
 
Haha zitapigwajeee, maana na kuna married but available
 
Reactions: kui
Kwa kiswahili kasemaje?
Kasema hivi, hana hela sasa akifiria kuna mapumziko ya siku nyingi kuanzia tarehe 9/12/2016 siku ya Ijumaa itakuwa sikukuu ya Uhuru, halafu Jumamosi, Jumapili na Jumatatu tarehe 12/12/2016 pia itakuwa sikukuu ya Maulid kwa hiyo anajifikiria atatanua vipi hizo siku nne mfululizo
 
Hapo lazima kichwa kimuume
 

Yaani nifanye mazoezi ya kubeba kapu la mama kabla sijaiona hela!!!!
Benny nilikuambia ufanye mchakato haraka unazubaa tu, unaona sasa ninavyopata usumbufu!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…