Andiko kwa Heaven Sent kuhusu mwandiko wake

Andiko kwa Heaven Sent kuhusu mwandiko wake

We acha tu kila walipokuwa wakimuonyesha walikuwa wananiudhi sana maana saa zote yeye yuko busu kuelezea kuhusu mapishi lol! nadhani alikuwa Chef mahali. Yaani mpaka nikawa naongea na screen mrembo anasuburi umkiss msogelee basi japo umkiss hata mara moja, yeye yuko busy tu blah blah blah blah lol! Alipojibu hivyo kwamba hakujua kama walitakiwa wakiss watu walicheka sana maana ilikuwa kwenye kadamnasi.

Hehe!, pole zake mbona..

Bachelorette Bongo ngumi zitaruka na kipindi kufutwa lol! Hata hii nina wasiwasi kuna siku mtu atakimbizwa hospital baada ya kutolewa ngeu.

Tehe!, ningependa kweli lakini kuona inakuwaje bongo. Jinsi ambavyo MMU ya humu inavyokuwa, so imagine ifanyike show kabisa ya kutafuta mchumba wa kike au wa kiume. Sintashangaa kuona siku anajitokeza mke au mume wa mtu kusema mwenzake kadanganya kusema yuko single anatafuta mchumba, na hapo ndo ngumi zitakapoanza. 😀
 
Haha zitapigwajeee, maana na kuna married but available
 
  • Thanks
Reactions: kui
Kwa kiswahili kasemaje?
Kasema hivi, hana hela sasa akifiria kuna mapumziko ya siku nyingi kuanzia tarehe 9/12/2016 siku ya Ijumaa itakuwa sikukuu ya Uhuru, halafu Jumamosi, Jumapili na Jumatatu tarehe 12/12/2016 pia itakuwa sikukuu ya Maulid kwa hiyo anajifikiria atatanua vipi hizo siku nne mfululizo
 
Hapo lazima kichwa kimuume
 
To you Dearest Heaven Sent,

Seems like I have fallen in love with you…you are just the best! Now all I want to say is that I can't live without you and don't even want to. You are the best thing that has ever happened to me and i think you'll make my life complete. I adore you from my heart and soul and want to let you know that you are my little angel who i love the most. Only mwandiko wako was enough to fill my heart with this enormous LOVE. You make me so happy anytime i read ur post/comment..., that all I need now is you to make my life complete.

Your's the one and only Korboto.

cc atoto fanya mazoezi ya kubeba kapu la mama.

Yaani nifanye mazoezi ya kubeba kapu la mama kabla sijaiona hela!!!!
Benny nilikuambia ufanye mchakato haraka unazubaa tu, unaona sasa ninavyopata usumbufu!!!!
 
Back
Top Bottom