Andiko la Mwisho la Ole Mushi;Ukoloni unarudi Tanzania

Hapa ndipo alipotibua nyongo za wale watesi wake. Halafu wanakuwa wa kwanza kupeperusha salaam za rambirambi
 
Kama maandiko kama hayo tu washamleftisha kwa sumu akifanya vitendo je si watamla mzima mzima RIP MUSHI
 

WALISHAPANGA KUMUUA ANGALIA




CCM wametoa salamu za rambirambi kwa Thadei Ole Mushi siku moja kabla kifo chake.Kwamba Thadei Ole Mushi kafariki tarehe 04 February 2024 lakini CCM salamu za rambirambi zinaonekana kutolewa tarehe 03 February 2024.
Muda huu kila jambo linapaswa kutiliwa mashaka, Je ni bahati mbaya.? au waliandaa mapema salamu zao za rambirambi wakijua atakufa hivi karibuni..?
Ni kukaa kwa machale.



 
Mimi binafsi nimekuelewa ila hii inshu ni mfumo na kubadili mfumo nk ngumu mno kwa mmoja from no where.
 
Aheri yeye kapiga kelele, je wewe umefanya nini? Kusema nayo ni hatua kuliko unafiki.
 
Kwa andiko kama hili, na Samia akiwa beneti na mwenezi mpya aliyepigwa marufuku kukanyaga USA sababu ya kutia roho za watu, hakuna namna huyu angebaki mzima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…