Andrew Chenge achukua fomu ya kugombea Uspika. Fahamu kuhusu wasifu wake

Hakuna aibu kwenye uraji.
Kizazi cha sasa ndicho hakina aibu kwenye kula. Huyu ni wa kizazi cha zamani ambacho kilikuwa na aibu kwenye ulaji. Isitoshe huyu alishakula sana vya harari na vya haramu. Na ana akiba kubwa sana ya kumtosha kula kwa miaka 100 zaidi ijayo. Kwa nini asiwaachie akina Tulia nao wakala angalao kidogo. Kama mambo ndiyo haya ni afadhali Mama amsamehe Ndugai arudi kwenye kiti chake cha usipika.
 
Huyu mzee hana hata aibu kabisa au labda ametuona sisi watamzania ni wajinga wa kiwango cha SGR.
Kama tuweza kumsamehe mzee Lowasa, ni vema tumsamehe pia mzee wa Vijisenti
 
Kwa mwenye nazo anaiona hiyo kama cha mtoto lkn kwetu sisi kina yakheee ni mlima mrefu sana
Kwetu kipengele ila kwa akina Andrew Chenge ni hela ya Mboga tu! Jamaa amekula 10% za michongo mingi sana kuanzia manunuz ya Radar 😅
 
Kwetu kipengele ila kwa akina Andrew Chenge ni hela ya Mboga tu! Jamaa amekula 10% za michongo mingi sana kuanzia manunuz ya Radar [emoji28]
Aliwahi kuwaambia polisi kuwa wanaweza tu kumkamata lkn hawawezi kumfunga na kweli jamaa aliwaacha kwenye mataa
 
Huyu Mzee ndioaliohusika kwasehem kubwa kutunga sheria zahovyo ambazo zinaweza kumshika lakini siokumfunga anatutakia nini watz naona anakwenda kuondoa hata kukamatwa tuumie kabisa nikimnukuu halima kila dili huyu Mzee yumo kacheza yaani katupiga tunamuomba asirudishe form vinginevyo mungu atusaidie kwakutuonea huruma amwt haraka tunateseka kwa sheria mbaya alizohusika yeyekutunga ndiomaana hadi tunachomewa nyavu zetu halali kwasheria mbovu zilivyo hatuna lakufanya chenge tuonee huruma kama hutaki mungu tusaidie tunaumia sana
 
Eti chadema mnamshauri Rais wa CCM
Inachekesha


Nani chadema ? Hatutaki taaruki kwenye Nchi yetu tunataka Amani na Usalama wahuni mnataka kumpoteza Mama for your personal interest

Bunge ni Muhimili unaojitegemea lakini Mh Raisi lazima awe na kiongozi wa muhimili mingine watakaesikilizana na atakemueshimu Raisi Nchi yetu isonge huyu chenge fisadi na Mchawi mama Samia atamwambia Nini ? Bora angemuacha Ndugai Basi kuliko huyu
 
All said, lakini ata resist pressure ya executive? Alivyo.mroho wa hela ataacha kuhongwa hela na " Magufuli" atumikie wananchi? Hamna kitu!
 
He either can see things other people can’t see or he has access into many things that others don’t have.
He has both!

Lile saga la ESCROW: hili joka being as smart as snake, lilihakikisha linaandika water-tight mkataba kwamba limefanya consultancy na malipo yale yalikuwa halali kwa kazi kubwa ya kitaalamu lililoifanya

Akina Tibaijuka wao wakapokea hongo kienyeji

Joka kama joka!
 
Hivi kwanini wakati wa JPM watu walikua hawajiiti majina ya ajabu ajabu kama " Joka Lenye Makengeza" ?
 
Tatizo lake ushirikina na kukosa uaminifu.Sio mfano mzuri wa kuigwa na yeyote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…