Andrew Chenge achukua fomu ya kugombea Uspika. Fahamu kuhusu wasifu wake

Hili Nchi iwe mikono salama kwa Mama Samia Bora Masele , huyu chenge Maghufuli na ukali wote alimshindwa mjuaji, fisadi na Umri umeshaenda

Hachelewi kumpindua Raisi akitumwa na genge la wahuni
Unakosea sana, huu ni mhimili mwingine, hauihitaji mtu mtiifu kwa rais bali mtu mwenye misimamo thabiti kusimamia bunge kama muhimili na taasisi inayojitegemea
 
Chenge afai kuwa kiongozi hana maadili,ni mwizi,mbadhilifu atapisha hoja za mikataba ya upigaji bungeni
 
umesahau kashifa mbalimbali alipokua mwanasheria mkuu serikali ya ccm Chini ya benjamini mkapa .....malizia ndg kuhusu joka lenye makengeza
 
Unakosea sana, huu ni mhimili mwingine, hauihitaji mtu mtiifu kwa rais bali mtu mwenye misimamo thabiti kusimamia bunge kama muhimili na taasisi inayojitegemea

Hatutaki mtu atakaemsumbua Mh Raisi hatutaki speaker ataemvimbia Mh Raisi , hatutaki mtu mwenye mipango miovu ya kumpindua mh Raisi
Tunataka mtu watakaelewana na mama Samia tunataka Tanzania ya Amani na Furaha kwa sisi Wananchi na viongozi wetu
 
Mpaka leo bado huwa najiuliza maana ya kujiita joka la makengeza!

Maana yake nini na joka lenye makengeza linafanya nn
Kwamba wewe ukiona lina tazama kushoto, ila kiuhalisia lina tazama kulia. Kwamba huwezi jua uelekeo wake linapokua kwenye mission [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Jamiiforum ilimtabiria Mema! Hatimaye yanetimia good formation.. kule Samia huku chenge pale ridhiwan kule Rostan Center Jk
Tumeisha na tutabaki kama taifa ombaomba endapo akipitishwa huyu mzee...
 
Mkakati umeshamalizika na umesukwa jinsi ulivyotakiwa baada ya Kufanikisha lile Kubwa la tarehe 17 Machi, 2021 sasa wanaenda Kukamilisha la kumuweka Fisadi wa Kinyantuzu kuwa Spika Mpya ili CCM Mtandao ya Upigaji irejee tena.
 
Mkakati umeshamalizika na umesukwa jinsi ulivyotakiwa baada ya Kufanikisha lile Kubwa la tarehe 17 Machi, 2021 sasa wanaenda Kukamilisha la kumuweka Fisadi wa Kinyantuzu kuwa Spika Mpya ili CCM Mtandao ya Upigaji irejee tena.
Wanyantuzu ni Wasukuma wenyeji wa Wilaya za Bariadi na Itilima mkoani Simiyu.
 
Mbona unamsifia nusu nusu?! Hebu tupe na wasifu wake kuhusu ESCROW ili tupate kumjua vizuri.
Kwani Chenge kwenye Escrow alifanya nini? Kupewa pesa na rafiki yake Rugemalira ndiyo kosa? Na kama ni kosa mbona hakuzirudisha na hakuna aliyempeleka Mahakamani,na mwenye pesa zake mwisho wa siku si ameachiwa huru,acheni chuki zisizo kuwa na mashiko.Go Mtemi Chenge,kiti cha uspika ni chako,hakika unastahili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…