Andrew Nyerere: Komredi Abdulrahman Kinana ni mchochezi

Andrew Nyerere: Komredi Abdulrahman Kinana ni mchochezi

RUZUKU ZA 'ABDULRAHAMAN KINANA ' ZA MILIONI 109 KWA MWEZI



View: https://m.youtube.com/watch?v=DxeIk9pOQOQ
mwandishi akosolewa kwa kukosa ufahamu wa kisiasa ikiwemo, mikutano ya hadhara ya oparesheni +255 ya CHADEMA mikoa yote, tarafa, kata zote iliyokwisha fanyika nusu mwaka wa 2023

Kuwa dhana lazima na sisi CHADEMA kuibuka kipindi hiki cha katibu muenezi wa CCM anapozunguka mikoa 20 ya Tanzania bara ni upofu wa uhasilia
 
Andrew ni depo mate wa Mzee wangu, ananiambia kama haujaambiwa huyu ni mtoto wa Rais, isingekuwa rahisi kuweza kumfahamu kuwa ni mtoto wa Rais, kwasababu alichagua kuwa low profile.
 
Mzee Nyerere hakuacha chembe ta akili kwa watoto na hata wajukuu
 
ADV. MWABUKUSI - CCM NI KUNDI LA MATAPELI, IMEASI MAAGANO YA CHAMA CHA TANU NA WATANGANYIKA WAKATI WA UHURU


View: https://m.youtube.com/watch?v=2CMcvWCkg5Y

Kuelekea maandamano ya mjini Mwanza, watu zaidi wajitokeza kuiunga mkono CHADEMA, wasema sasa CHADEMA imejitwisha ahadi zote za TANU ilizoziahidi kuelekea uhuru wa mwaka 1961 ...
 
Back
Top Bottom