Andrew, Omari, Cornell and Robert

Andrew, Omari, Cornell and Robert

Ila kuna moja linanitatiza, kumuunga mkono muungwana kunasaidia kwenye mapambano haya au kunadhoofisha? naona pressure ndio inamfanya atumie akili zake na uwezo wake.

- Ndani ya CCM sasa kuna makundi ambayo yanapigana usiku kucha ndio maana kuna waziri aliyekwenda na kum-record waziri mwenziwe kwa siri, sasa binafsi ninasema hivi kati ya makundi, ni muhimu sana tukali-support la muungwana mpaka 2010, kwa sababu angalau halina wezi na mafisadi kuliko hayo mengine.
 
FM

I wish ingekuwa fully transparent kma kwa wenzetu wa Afika kusini na ANC yao kwani ingekuwa very simple tujue wazi nani ni nani...and hence fully or no support at all!
 
I wish ingekuwa fully transparent kma kwa wenzetu wa Afika kusini na ANC yao kwani ingekuwa very simple tujue wazi nani ni nani...and hence fully or no support at all!

- Ninaamini kuwa la muungwana so far lina yeye, membe, pinda na wabunge wapiganaji kina Mwakyembe, then kuna la lowassa na the crew, na kuna la the low profile au asilia Kinana, Mkuchika na wengineo. Pia kuna lingine hili lina wakurugenzi flani hivi wanavizia mzoga kama fisi.
 
The four horsemen of Apocalypse, gripping the fate of the nation!

Choice is yours, which color belongs to each one of these horsemen!

Wasifu wao:

Andrew Chenge: Mwanasheria Mkuu;-Mikataba, Katiba, Kesi, Sheria....tuhuma.. IPTL, Rada na kadhalika

Omari Mahita: Inspekta Jenerali wa Polisi;- Ulinzi na usalama wa Raia na Taifa.. tuhuma.. rushwa kushuka mori Polisi, kuongezeka ujambazi na uhalifu, mauaji <we,bechai, Pemba, Bulyankhulu, Mtibwa....kuwadi wa CCM

Cornell Apson: Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kijasusi, maarufu kama Usalama wa Taifa ama siku hizi TISS.. tuhuma.. Kagoda, EPA, Kombe, Mtandao, KaLoRoKi, kampuni ya mawasiliano kumulika nchi nzima....

Robert Mboma: Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi (JWTZ).. tuhuma... Meremeta..Tangold....Mwana...Dee...

What do these four have in common?

What they have in common? They should stay trial for TREASON! Yes i said it, TREASON.
 
Hakieleweki kuwa wakati hawa wanne walipokuwa madarakani uhalifu ulukubuhu kupita kiasi!

Ujambazi ulikuwa kila kona na kila siku unasikia kilio cha wananchi. Mikataba mibaya yote ilifanyika hawa jamaa wakiwa kwenye usukuani.

Najiuliza nani mkuu wa ushirika huu wa hawa wachawi?

Inabidi nirudie maneno aliyosema Mkuu wa Polisi Said Mwema kuwa nchi imetekwa nyara, je alikuwa anamaanisha ni hawa jamaa wanne?
 
Back
Top Bottom