William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,584
- 10,400
Ila kuna moja linanitatiza, kumuunga mkono muungwana kunasaidia kwenye mapambano haya au kunadhoofisha? naona pressure ndio inamfanya atumie akili zake na uwezo wake.
- Ndani ya CCM sasa kuna makundi ambayo yanapigana usiku kucha ndio maana kuna waziri aliyekwenda na kum-record waziri mwenziwe kwa siri, sasa binafsi ninasema hivi kati ya makundi, ni muhimu sana tukali-support la muungwana mpaka 2010, kwa sababu angalau halina wezi na mafisadi kuliko hayo mengine.