Android 15 ndani ya Google Pixel

Ndengaso

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2014
Posts
7,831
Reaction score
14,259
Just in
Android 15 ndani ya Google Pixel.

Kwa harakaharaka Google wameamua kuwa serious kwenye swala la security kwani wameleta private space inayokuwezesha kuweka data zako na ku run application nje ya launcher ya kawaida.
Lakini pia hatimae Google wameleta Theft protection, je uu utakua mwisho wa kuflash simu za Android zilizoibiwa ?

Muda msema kweli..

 
Hiyo private space ni kama samsung ana secure folder ambako unaweka app na data na zinakuwa hidden.
 
Nimetumia 4, 5 na sasa natumia 5a nimeishia hapo, lakini hata hizo nyingine ni hovyo tu ukiondoa camera.... ni suala la muda tu tutarudisha heshima ya Samsung.
Sawa mkuu...kwenye simu ni kipi unaangalia kama ubora ? Mimi ni fluidity ya UI yaani sipendi lags, Screen resolutions ya kibabe, Camera Kali, Customizations, Updates na security. Nilitumia Samsung kwa miaka mingi nilimaliza na note 10+ wapo vizuri pia ila Camera zao post processing ya picha zao ni ovyoo (Software) hadi unaweza kuhisi Samsung wanataka kutengeneza rangi yao mpya ya ngozi ya binadamu...ipo kama kuelekea manjano hasa usiku... kwenye updates Samsung nao walikua kipengele... angalau sasa hivi wamezinduka.
 
Google Pixel hakuna simu mule.
Mkuu uko sawa kabisaa. Mimi pia hata unipe iphone nitapokea na kuigawa tu.
na nilipewa na dada nikampa wife then wife nae akampa dogo process hiyo yote imenyika ndani ya mwezi tu.
nikabaki na google pixel na sasaiv npo infinix yangu wala huniambii kitu chochote kile
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…