Kilangi masanja
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 4,495
- 5,025
Kiswahili kigum gugo tu utaonaSi dhani kama ni sahihi kwa hii namna ulivyoeleza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kiswahili kigum gugo tu utaonaSi dhani kama ni sahihi kwa hii namna ulivyoeleza
Google lens.Kupitia vichache ulivyovijua tafadhali vitaje ,Mimi feature ya kuchukua video na muda huo huo ukaweza kutafasiriwa kile kinachozungumzwa inanikosha,pia uwezo wa ku copy n kupaste picha nahadaika sana
Kiswahili kigum gugo tu utaona
Kiswahili kigum gugo tu utaona
Theft protection nayo si haba na pia Google sms app naimprove sana now hasa RCS featureGoogle lens.
Mfano nikitaka hata kujua kifaa chochote kinahusu nini au kinatumika kwa matumizi gani na jina lake hata silijui.
Nachokifanya napiga picha kisha nabonyeza Google lens hiyo inanipa full details ya hicho kitu.
Nyingine ni auto caption
Ku play media yeyote kisha maneno yake yakawa yana display kama lyrics.
Nilivyoelewa kuwa used ni bora kuliko refurb si ndivyo ulisema."Si used bali ni refurb kabisa"Kiswahili kigum gugo tu utaona
Mimi ndio nimechanganya kwenye hizo terms mbili kuzitafsiri kwa kiswahiliNilivyoelewa kuwa used ni bora kuliko refurb si ndivyo ulisema."Si used bali ni refurb kabisa"
OKMimi ndio nimechanganya kwenye hizo terms mbili kuzitafsiri kwa kiswahili
Hiyo Google lens ni simu zote za Android. Hadi InfinixGoogle lens.
Mfano nikitaka hata kujua kifaa chochote kinahusu nini au kinatumika kwa matumizi gani na jina lake hata silijui.
Nachokifanya napiga picha kisha nabonyeza Google lens hiyo inanipa full details ya hicho kitu.
Nyingine ni auto caption
Ku play media yeyote kisha maneno yake yakawa yana display kama lyrics.
Google sms ni nzuri ila inachangamoto ya kuandamwa na bugs nyingi.Theft protection nayo si haba na pia Google sms app naimprove sana now hasa RCS feature
AI features kama hizo ndio trend ya simu za sasahiviKupitia vichache ulivyovijua tafadhali vitaje ,Mimi feature ya kuchukua video na muda huo huo ukaweza kutafasiriwa kile kinachozungumzwa inanikosha,pia uwezo wa ku copy n kupaste picha nahadaika sana
Inawezekana pia.Hiyo Google lens ni simu zote za Android. Hadi Infinix
Kuchukua yan ukiwa unarecord video inaonyesha kinachozungumzwa?Kupitia vichache ulivyovijua tafadhali vitaje ,Mimi feature ya kuchukua video na muda huo huo ukaweza kutafasiriwa kile kinachozungumzwa inanikosha,pia uwezo wa ku copy n kupaste picha nahadaika sana