Android Developers wa bank ya NMB, huu uoga mmeanza lini?

Leongo ilikuwa kumrekebisha na kujua kama ashawahi tengeneza financial app za kampuni kama Bank tujue. Hivyo vi app vyake hata user akiruhusu rooting hakuna issue
Acha dharau za ki wack umeulizwa swali na mdau unapuyanga mara unajimwambafai wewe hutoi jibu la swali umeulizwa si bora ×100 ukae kimya hapo ofisini kwenu usubiri mshahara wa mwisho wa mwezi kuliko kujitia aibu

404: Page Not Found
 
Legend 👍🏾
 
Hizo apps zake zinaingiza Tsh ngapi? Au zimebeba risk kiasi gani kwa watumiaji? Unafananisha draft na financial app mzee? Na wewe wale wale tu. Akasome guidelines za OWASP ndio aanze ubishi
Mkuu, mimi nimeleta app ya jamaa ili uikosoe kama ulivyotaka. Sijaleta ili kufananisha wala kujua zimebeba risk kiasi gani, ukizingatia wakati unaomba hukusema kama unataka financial apps za jamaa, ulisema tu unataka app za jamaa zilizo play store ili 'uzikosoe' na kurekebisha. Rekebisha sasa!!
 
Kwako hizo app za ku clone ndio zinampa nguvu akosoe developers wa NMB kisa tu wao wanaona developer mode isitumike kwenye app yao? Mbona yeye app yake hiyo nime signup na password 123456 na imeingia. Huyo ndio wa kuzungumzia NMB kweli? Awe serious
 
Halafu jamaa hakutakiwa ku attack developers wa NMB. Developers wanatengeneza solutions kutokana na policy za kampuni sio kujiamulia. Hata yeye angekuwepo kwenye hiyo team angefanya kama policy inavosema. Asingeleta ujuaji kwamba mbona CRDB inafanya kazi with developer mode [emoji23][emoji23]
 
Hivi Bongo, kampuni zinalipa fedha pale unapowapa hints za namna apps zao zinavyoweza kuwa hacked? Au taarifa za mteja zinavyoweza kutumiwa vibaya?
Sidhani kama wanalipa hela, wao wanaona poa tu. Kuna jamaa alikuwepo twitter, anahack website za vyuo vikuu mbalimbali hapa nchini na kuwaambia warekebishe ulinzi wao.
 
Hizo apps zake zinaingiza Tsh ngapi? Au zimebeba risk kiasi gani kwa watumiaji? Unafananisha draft na financial app mzee? Na wewe wale wale tu. Akasome guidelines za OWASP ndio aanze ubishi
We jamaa nakucheka tu.

Nmetengeneza plugins za ZAP ya OWASP, na Bado nimesubmit kwao Integrated Pentesting software nlotengeneza mimi from scratch, ipo github, na siweki link sababu najua hutoelewa hata nimefanya nini. Hao OWASP wanajua jina langu FYI
 
Kwa hiyo wewe ungekuwa developer wa NMB ukaambiwa policy ya Bank yetu ni kuto allow developer mode ungeacha kazi?
 
Kwako hizo app za ku clone ndio zinampa nguvu akosoe developers wa NMB kisa tu wao wanaona developer mode isitumike kwenye app yao? Mbona yeye app yake hiyo nime signup na password 123456 na imeingia. Huyo ndio wa kuzungumzia NMB kweli? Awe serious
We jamaa zero kweli. Ndo maana sikutaka kubishana na wewe.

Pwd requirement inategemea policy ya system yako, na hicho kitu ni tofauti kabisa Dev mode inayoongelewa hapa. Lengo kubwa ni mtu aweze kukumbuka pwd, gates nlizoweka nyuma hapo kama mtu akifanya multiple attempts (kubashiri pwd) kwenye device ambayo user haitumii sana ndipo nalock. Hadi hapo sijui hata kama unanielewa, kiufupi silazimishi user awe na complicated owd atakayo sahau, bali simple pwd, na mimi nitamlinda.

Af unasema nimeclone, hahahahaaa, sawa nimeclone, niletee app unayoweza kucheza Arubastini basi
 
Hapo kwenye password 123456 mbona hujibu? Anayezuia developer mode na unaye allow password 123456 nani achekiwe?
 
Kwa hiyo wewe ungekuwa developer wa NMB ukaambiwa policy ya Bank yetu ni kuto allow developer mode ungeacha kazi?
Umeona akili yako ilivyo ndogo?

Unakimbili kufikiria kuacha kazi pale policy inapoenda tofauti na wewe badala ya kuiquestion, kuangalia pros na cons kisha kurekebisha. Hauoni hio policy inakera watu?
 
Umeona akili yako ilivyo ndogo?

Unakimbili kufikiria kuacha kazi pale policy inapoenda tofauti na wewe badala ya kuiquestion, kuangalia pros na cons kisha kurekebisha. Hauoni hio policy inakera watu?
Kwa hiyo ungefanya kazi au ungesema "tufanye kama CRDB" [emoji23][emoji23]
 
Bado upo kwenye theory and introduction levels of developers and hackers world.
Kwani usingefanya hicho unachok8fanya kama unadhani ni rahisi kama udhaniavyo?
 
Umeona akili yako ilivyo ndogo?

Unakimbili kufikiria kuacha kazi pale policy inapoenda tofauti na wewe badala ya kuiquestion, kuangalia pros na cons kisha kurekebisha. Hauoni hio policy inakera watu?
Kwa hiyo wewe ndio umeona pros and cons za ku allow developer mode kuliko wataalamu wooooote wa NMB. Aisee [emoji23][emoji23][emoji23] Kwamba Bank waliweka hiyo feature bila kujua kwamba haina faida
 
Hapo kwenye password 123456 mbona hujibu? Anayezuia developer mode na unaye allow password 123456 nani achekiwe?
Sikiliza wewe...

Ngoja nikuingize darasani sasa kwa kuwa unanitibua.

Mmezoea kumlazimisha user aweke complicated pwd ambazo hata yy baadae anasahau.

System yangu (na zawanaojitambua) zinaruhusu simple pwds ila kulimit urefu tu, utaona kwangu urefu ni minimum 6 chars.

Sasa user akiwa analogin, system itakariri device yake. Complicated pwds ni sababu ya kuzuia BRUTE FORCE tu, sasa mm kwa kuwa nakariri common devices anazotumia user wangu, nikidetect multiple incorrect logins kutoka device nyingine kwa account hiohio, nailock hio device kulogin tena kwenye hio specific account baada ya XX trials.

Advantage ni kwamba user ana weza kutumia hata uuuuuu kama pwd yake, cha muhimu ni simple na ataikumbuka, na huku mimi (system yangu) namlinda.

Sasa kurudi kwenye dev mode, na wewe nielezee, why mtubane kuzima dev mode? Huoni mnatukera, mimi namrahisishia user na pia namlinda lkn wewe unamkera user, bado una la kusema?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…